Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

well sir, i hv written enough..

You are overly generalizing, cherry picking examples and call that "all" and contradicting yourself.

You have checkmated yourself. If you convince me of whatever you want to, then communicating knowledge about humans will not be such a fruitless exercise in that it has potential to enlighten another, this will contradict you.

If you fail to convince me, you may have a point that communicating knowledge about humans is a fruitless exercise in futility, exhibit A being our very exchange here, but your mere persistent engagement will be contradicting this view, by action nonetheless.

You painted yourself into a corner, in chess this would be a checkmate of your own making.

No wonder you feel you have written enough.
 
Now I could conclude with a Prudential answer Hawking was a STUPID creepy
You can say that he was a stupid creep or he was stupidly creepy, but never "a stupid creepy".

You are trying to insult the man, but you can't even do that properly.

Who is stupid now?
 
Kukuonesha maana yake nini? Umeme unaweza kupimwa, umeme ulio ndani ya mwili unaweza kupimwa, vipimo vinaweza kuonekana.

Huyo Mungu wenu hayupo, hapimiki hata kimantiki tu, dhana ya kuwapo kwake ina contradictions, kwa sababu hayupo.

Suala la umeme kuwapo katoka mwili wa mtu ni kitu kinachojulikana kibaiolojia, kinapimika, halina contradiction.
Nmeshakwambia God is power,, Na ipo siku yako utakuja kukiri humu.
 
Nmeshakwambia God is power,, Na ipo siku yako utakuja kukiri humu.
Umeniambia lakini hujathibitisha, kuniambia yeyote anaweza kuniambia lolite.

Kuthibitisha ni kitu kingine.

Power huwa inaisha. Mungu naye anaisha?
 
Nakubali.

Hawezi kuisha, hajawahi kuisha, na hatokuja kuisha.

Kwa sababu hayupo.
Sisi waamini na wewe ( Atheist ) tuna utofauti mkubwa sana.
FB_IMG_1690618472702.jpg
 
Hujathibitisha Mungu yupo, unaleta meme za kiimani tu.

Thibitisha Mungu yupo.
Mungu sio Hassan wala Andendekisye kuwa utamfuata tu sehemu nkakuonyeshe,

Imani ni mlango wa kumjua Mungu na kumthibitisha. Wewe hiyo imani huna.

Hakuna atakaekuja kukuthibitishia Mungu kuwa ndio huyu hapa, Wa kukuthibitishia ni wewe mwenyewe, Naam ni wewe mwenyewe.
 
Nakubaliana na wewe Mungu si Hassan wala Andendekisye.

Kwa sababu hayupo.

Dhana ya kuwepo Mungu ina contradictions zinazoonesha kuwa huyo Mungu hayupo, ni Mungu wa kutungwa na watu tu kwenye hadithi.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Nkuthibitishie ? Mwanzo wa ulimwengu ndio uthibitisho wangu

(Bing Bang )

Someone who wasn't limited by space or time dimention created the big bang ( God ).
 
Nkuthibitishie ? Mwanzo wa ulimwengu ndio uthibitisho wangu

(Bing Bang )

Someone who wasn't limited by space or time dimention created the big bang ( God ).

Hujathibitisha kitu, umetaja tu Big Bang, ambayo hata huijui ni kitu gani.
 
Mungu sio Hassan wala Andendekisye kuwa utamfuata tu sehemu nkakuonyeshe,

Imani ni mlango wa kumjua Mungu na kumthibitisha. Wewe hiyo imani huna.

Hakuna atakaekuja kukuthibitishia Mungu kuwa ndio huyu hapa, Wa kukuthibitishia ni wewe mwenyewe, Naam ni wewe mwenyewe.
Imani ni nini?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom