Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mbona kawaida tena wanakuambia usiwe na hofu unapita 😄Una pigwa ndani, halafu waki toka nje Wana tabasamu😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kawaida tena wanakuambia usiwe na hofu unapita 😄Una pigwa ndani, halafu waki toka nje Wana tabasamu😆
Mafisadi
Chdem hawana mfano hapa africa ,embu fikiria bada hawajakamata dola 🙆♂️🙆♂️🙆♂️Kuliko Yale ya CHADEMA?
Marburg Ipo, Wewe Hujui
Umemaliza mkuu🙌Ushindani Siyo watu wawili kuwania nafasi moja. Ushindani Ni kutumia maneno mawili ili neno mojawapo liibuke kidedea. Neno "Yes" au "No"; "Ndiyo" au "Hapana". Hayo maneno yamesimama kwa niaba ya watu wawili. Hakika hii Ni "Demo-ghasia" 🤔🤔👐👐
CCM wamechoka sana. Sasa huyu Wasira ataleta ubunifu gani kukisaidia chama na nchi.Upo sahii, mpaka sasa sioni group la watu makini wa kumvusha Mgombea wa ccm, siasa za majukwaani zinahitaji mvuto pia , na watu wa kujibu hoja zilizo mbele ya ccm wala siwaoni kabisa.
Uchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi sana kwa wapinzani , wakimaliza chaguzi zao salama ,
Corona!Mbona meza kuu wamekaa mbalimbali sana?!
CCM haujawahi kuchemka..uta prove Hilo soonIla kama Mganga wa Chama aliwaambia mumchague Yeye labda ana Nyota ya Ushindi na Ushawishi kwa 2025 basi sawa ila kwa Yeye kama Yeye na nikiwa namjua kuanzia Familiani na kwa Nyakati hizi hana Jipya na mmechemka pakubwa.