Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Vipi Mstaafu wa hiyo nafasi na mapacha wake 🤣😆Sijamuona kwakweli😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi Mstaafu wa hiyo nafasi na mapacha wake 🤣😆Sijamuona kwakweli😃😃
Vijana wana UVCCMCCM hasa vijana kataeni huu utani.
Haiondoi ukweli kuwa Wassira (80) anaingizwaMbowe haondolewi kwa umri tu, kuna mengi.
Habari Wakuu,
Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025.
Nani kumrithi Kinana?
Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini, mabazi na wanamichezo ni kati ya wanaohudhuria mkutano huu wa CCM unaofanyika Dododom.
Rais Samia amefungua mkutano huo kwa kuanza na hotuba ya ufunguzi, ambapo mbali na kuongelea maendeleo ya chama kwa ufupi ametoa onyo kwa wanachama wanaeonda majimboni kwa lengo la kufanya kampeni waache kufanya hivyo mara moja.
Pia awaonya CCM kuwa na makundi wakati wa kuteua wagombea.
Rais Samia awahimiza CCM kuhimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na wale ambao wanahitaji kuboresha taarifa zao kufanya hivyo.
====
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar amesoma azimio la kikao cha NEC kilichofanyika 18/1/2025 Dodoma ilipokea na kujadili mapendekezo na kamati kuu ya ccm taifa kuhusu mrithi wa Kinana, baada ya kujadili mapendekezo hayo Halamshauri kuu ya CCM imemteua Steven Wassira kuwa ndiye mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ili kupigiwa kura.
CV ya Mzee Wassira, soma CV na Historia ya Mzee Stephen Wasira
Wassira achaguliwa kwa kura 1910 kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Kura zilizopigwa: 1921
Kura zilizoharibika: 4
Kura halali: 1917
Kura za hapana: 7
Kura za ndio: 1910 sawa na 99.42%

View attachment 3205078
===
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi leo tarehe 18 Januari 2025, Dodoma, kuelekea Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Leo tarehe 18 na 19 Januari, jijini Dodoma.
View attachment 3205079
#KaziIendelee
Shida ya Wassira ni propaganda....kizazi hiki na utandawazi huu atajikuta comedy na propaganda zake watu wanakuja fact plus ushahidi.....yeye anawaza awamu 1....no access info to people....lile zee ni babe kwa lissu, lissu akiwa mwenyekiti wa chadema tayari kawekewa mbabe wake. Wale wakiitwa studioni kufanya kipindi watenganishwe, zee lina hasira sana lile, linaweza kumrushia ngumi lissu
Kwa nyakati hizi bro nyota ni muhimu zaidi..........Ila kama Mganga wa Chama aliwaambia mumchague Yeye labda ana Nyota ya Ushindi na Ushawishi kwa 2025 basi sawa ila kwa Yeye kama Yeye na nikiwa namjua kuanzia Familiani na kwa Nyakati hizi hana Jipya na mmechemka pakubwa.
Habari Wakuu,
Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025.
Nani kumrithi Kinana?
Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini, mabazi na wanamichezo ni kati ya wanaohudhuria mkutano huu wa CCM unaofanyika Dododom.
Rais Samia amefungua mkutano huo kwa kuanza na hotuba ya ufunguzi, ambapo mbali na kuongelea maendeleo ya chama kwa ufupi ametoa onyo kwa wanachama wanaeonda majimboni kwa lengo la kufanya kampeni waache kufanya hivyo mara moja.
Pia awaonya CCM kuwa na makundi wakati wa kuteua wagombea.
Rais Samia awahimiza CCM kuhimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na wale ambao wanahitaji kuboresha taarifa zao kufanya hivyo.
====
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar amesoma azimio la kikao cha NEC kilichofanyika 18/1/2025 Dodoma ilipokea na kujadili mapendekezo na kamati kuu ya ccm taifa kuhusu mrithi wa Kinana, baada ya kujadili mapendekezo hayo Halamshauri kuu ya CCM imemteua Steven Wassira kuwa ndiye mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ili kupigiwa kura.
CV ya Mzee Wassira, soma CV na Historia ya Mzee Stephen Wasira
Wassira achaguliwa kwa kura 1910 kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Kura zilizopigwa: 1921
Kura zilizoharibika: 4
Kura halali: 1917
Kura za hapana: 7
Kura za ndio: 1910 sawa na 99.42%
Siasa zetu bado ni vilevile.......vijana watapiga kelele ila mwisho wa siku lililoamriwa litakua.....hapo kikubwa kamati ya ufundiShida ya Wassira ni propaganda....kizazi hiki na utandawazi huu atajikuta comedy na propaganda zake watu wanakuja fact plus ushahidi.....yeye anawaza awamu 1....no access info to people....