Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa umri sawa.ila naamini kazi zao ni kutoa miongozo tu. mikíkimikiki ipo kwa katibu na mwenezi.Wenzio ndo wanamuua kwa kumumpa kazi ngumu wewe unasema yuko vizuri, kwa age ile namuonea huruma. Hawezi kuimili mikiki mikiki ya 2025. Ni kazi ngumu kwake kwa sababu ya umri
Bumbuli vipi?WAjane wote wapo
Sijamuona kwakweli😃😃Bumbuli vipi?
Habari Wakuu,
Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025.
Nani kumrithi Kinana?
Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini, mabazi na wanamichezo ni kati ya wanaohudhuria mkutano huu wa CCM unaofanyika Dododom.
Rais Samia amefungua mkutano huo kwa kuanza na hotuba ya ufunguzi, ambapo mbali na kuongelea maendeleo ya chama kwa ufupi ametoa onyo kwa wanachama wanaeonda majimboni kwa lengo la kufanya kampeni waache kufanya hivyo mara moja.
Pia awaonya CCM kuwa na makundi wakati wa kuteua wagombea.
Rais Samia awahimiza CCM kuhimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na wale ambao wanahitaji kuboresha taarifa zao kufanya hivyo.
====
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar amesoma azimio la kikao cha NEC kilichofanyika 18/1/2025 Dodoma ilipokea na kujadili mapendekezo na kamati kuu ya ccm taifa kuhusu mrithi wa Kinana, baada ya kujadili mapendekezo hayo Halamshauri kuu ya CCM imemteua Steven Wassira kuwa ndiye mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ili kupigiwa kura.
Historia ya Mzee Wassira, soma Ijue historia ya Mzee Stephen Wasira

Mbowe haondolewi kwa umri tu, kuna mengi.Ukilinganisha umri, Mbowe ni mdogo kwa Wassira kwa zaidi ya miaka 20.
Ajabu na tofauti ni kwamba Mbowe anaondolewa wakati Wassira anaingizwa
Huyu mzee anatakiwa kuwa kwenye jumba la makumbusho mkuu, najua unajua na unaumia ila utafanyaje kucomply na maamuzi ya wapika mchuzi kule juu, wakati unataka bakuli lako la supu nawe! Lazima ukubali tuwakiskia wivu sana na wao wamchague mpiga vizinga Mzee Azaveli Lwaitama kua makamu mwenyekiti wa Chadema Bara🐒
Cheki Kinana anavyotia huruma 😂😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DE9l0j5NvI0/?igsh=MWdibWc4bGdyOXBtNw==
Sana. Hairudii rudii wale wa zamani.Ila tuache utani jamani CCM ina hazina kubwa ya viongozi
uzuri wa CCM,Huyu mzee anatakiwa kuwa kwenye jumba la makumbusho mkuu, najua unajua na unaumia ila utafanyaje kucomply na maamuzi ya wapika mchuzi kule juu, wakati unataka bakuli lako la supu nawe! Lazima ukubali tu
Heeeeeh. ...... Yamekuwa hayo hayo.Shetani kumchagua zimwi ni yaleyale mambo ya uchawini
Ugonjw.. mwingine umeongezwa CCMWadau hamjamboni nyote?