Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wamechoka sana. Sasa huyu Wasira ataleta ubunifu gani kukisaidia chama na nchi.

Tatizo hakuna upinzani imara Tanzania Lissu na kundi lake wakijipanga vizuri, wakiacha kutumia lugha za kihuni, kumshambulia Magufuli, wakajikita kupigania maslahi ya Taifa, kupinga ufisadi, rushwa, uuzwaji wa rasilimali za nchi ovyo wanachukua nchi.

Ili kushinda uchaguzi ni lazima wapigiwe kura na wanachi wasio vyama kutoka kanda zote na wana-CCM waliochoshwa na CCM. Wajipange jinsi ya kuwafikia hao.
 
Ama kweli Mungu akiamua siku za mwisho hufanya atakalo hata uwe mgumu vipi Mungu atakufanya la kufanya.

Acha waendelee na ya kuendelea sis tupo na tutakuwepo kwenye wakati sahihi.

Mungu ni fundi na hakuna kama Mungu na hakuna kama yeye aliye Mkuu milele yote

Ni hayo tu

Pang Fung Mi
 
Ila kama Mganga wa Chama aliwaambia mumchague Yeye labda ana Nyota ya Ushindi na Ushawishi kwa 2025 basi sawa ila kwa Yeye kama Yeye na nikiwa namjua kuanzia Familiani na kwa Nyakati hizi hana Jipya na mmechemka pakubwa.
CCM haujawahi kuchemka..uta prove Hilo soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…