DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Hapana. WaTanzania waliokuwepo 1970 hawakuwahi kuwa na fikra za aina hizi zilizopo sasa, hata kwa kipimo cha aina yoyote ile.Hivi sijui kuna watu hawana kupumzika ndio maana hata juzi anaongea kwa fikra zake anafikiri anaongelesha watanzania waliopo 1970.
halafu ipite sku mbili bibi wa watu akate moto ili muandae mazishi ya kitaifa kula hela zetu! koma we mzee muache bibi yetuMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.
Kaburi Msasani??Sijui kama alifika kaburini alipolala Mwalimu kutoa heshima.
we mzee una gundu tusje weka msiba hapo uondoke na laana zakoMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam leo Februari 18, 2026.