Pre GE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
 

Attachments

  • IMG-20250314-WA0002.jpg
    103.3 KB · Views: 1
Huyu labda awe ametoka kupuliza vuvuzela ,vidampa kama hawa wanawekwa kwenye wale washangiliaji wakulipwa wapuliza vuvuzela hapo amesharudi jioni mashavu yanamuuma kaambulia buku 7.
Wivu tu ndio unakusumbua.
 

Yaani huyo zama damu ndio atue kibabe?
 
Mkuu, hivi unajua kuwa Wasira ana tuhuma za kula pesa zilizochangwa na wananchi wa mkoa wa Mara kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya mkoa, na ujenzi ukasimama mpaka alipokuja shujaa kuimalizia? Wakati huo yeye alikuwa RC wa Mara.
Kama ulikuwa hujui, basi ndo nimekutonya hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…