Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
🤣🤣🤣🤣Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro , aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani .
Habari ndio hiyo .[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu hawapumziki
Ova
Eti kijana Makongoro Nyerere
Ni kijana??????
Acheni upuuzi [emoji35][emoji35][emoji35]
Yes hakuna kulala kazi iendelee lakini usisahau mwenye nacho huongezewa
PGO ya ccm ni habari ingine kabisa.[emoji23]Watu hawapumziki
Ova
Ila anapata posho nono na marupurupu ya kutosha sanaMjumbe wa kamayi kuu ya ccm halipwi mshahara bro
Vijana wamelikoroga wenyewe enzi za Yuda (Jiwe). Wengi walionesha UKIFUTU badala ya uongozi. Hivyo vijana hawaaminiki tena.Watu hawapumziki
Ova