Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu , ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya ccm , hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa .

Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro , aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani .
Yupooo..!!
 
Hawa wazee hawataki kutoka kwenye system hata kidogo
 
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.

Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Akina Paulsilvester na akina Eltwege na Stroke wao waendelee kuimba mapambio tu
 
Huyu dingi king'anganizi sana alinifurahisha pale alipoenda mahakamani kupinga ushindi wa demi wake wa zamani
 
Vijana wamelikoroga wenyewe enzi za Yuda (Jiwe). Wengi walionesha UKIFUTU badala ya uongozi. Hivyo vijana hawaaminiki tena.
Vijana waliharibu maana walikuwa na moto wa ajabu

Ova
 
CCM yangu imeamua kujifia na wazee.

Hakuna mawazo mapya
Hakuna mwanzo mpya
Ni kuokoteza okoteza kwenye tenga la matunda mabovu
Pale Lumumba hayupo wa kujibu hoja nzito nzito Abt Katiba.

Hakuna njia ingine lazima atafutwe ingawa amechoka sn nw.
 
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.

Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Naunga mkono hoja mzee wasira kuingia atakuwa na mchango mkubwa kuliko Makongoro

Makongoro tuwe wakweli kichwani hamna kitu aliwekwa tu kama ceremonial figure tu Nyerere family wasioonekane wamesahaulika ila ukweli hakuwa na mchango wowote wa maana

Mzee Wassira yuko vizuri kichwani
 
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.

Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Duh vijana wenzangu tutaula lini?
 
Vijana wamelikoroga wenyewe enzi za Yuda (Jiwe). Wengi walionesha UKIFUTU badala ya uongozi. Hivyo vijana hawaaminiki tena.
Tatizo vijana wengi wakibebwa wana jeuri acha ona akina Nape wanavyotamba ohh Sisi ndio.wenye nchi wenye chama.Hopeless kabisa

Vijana pekee watoto wa kiongozi wa juu wanaojielewa ni watoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi tu.Wametulia kuanzia character na wako focussed katika maisha na kila mtu hujisikia vizuri kuwa karibu nao au kufanya kazi nao nk

Lakini watoto wa viongozi wengine ni pasua kichwa wanabebwa lakini hawatumii migongoni sio hao tu wako vijana kibao waliobebwa toka majalalani lakini performance yao ni kijeuri jeuri tu

Nafikiri viongozi juu wameanza kushtuka kuwa tuache kubeba vijana tu sababu tunataka kuwabeba tuangalie performance na tuchanganye wazee na vijana kwani ukiwaachia peke yao wanavurunda

Vijana ndio wamelazimisha hili lakini chama Serikali ,bunge na mahakama walikuwa wameanza process za ku hand over kwa vijana kuanzia kipindi cha mkapa.

Lakini matokeo bado sio mazuri sana post kubwa vijana naona wanayotumia kama kuringishia tu na kuzitumia zaidi tu kutambia kuwa unanijua mimi nani au utanijua.Kituko akujue wewe nani wakati unajulikana na uliapishwa mbele ya vyombo vya habari si ujinga huo ohh hata mnizomee mimi ndio nilishapata hivyo!! Huo ni Utoto.Ni vyema wabeba.mbeleko vijana na kuwapa post ongeeni na vijana wenu mliobeba migongoni kuwa waache kurusha rusha Mateke huko mgongoni

Chapa kazi
 
Hii recycling angalia tu wasijeanza kuteua marehemu.

Mtu alishafariki siku nyingi lakini analamba teuzi kama hamna watu wengine wa kufanya hizo kazi.
 
duuu, ndugu yangu umetisha hii kali sana kaka
 
Back
Top Bottom