Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Kwahiyo mnataka kutwambia kuwa wakuu wa miko sio wanasiasa? Hivi mnatuonaje kwa mfano?
 
Kama watu wanamtaka, aendelee tu. Ujana kama ulivyo uzee, siyo sifa ya kuwa kiongozi au kuukosa uongozi.

Waliwekwa vijana akina Makonda, Sabaya, wakaamua kuwa majambaxi kwa kutumia nafasi zao. Kama vijana wenyewe wakawa kama akina Makonda, si afadhali maradufu ya mzee mwenye hekima?

Hata kule Bungeni kuna vijana, ebu leteni hata mfano mmoja wa kijana aliyetenda mambo mazuri ya pekee.
 
Back
Top Bottom