Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Duh vijana wenzangu tutaula lini?
Fanyeni vikao kwa nini hadi wazazi wenu hawataki kuwapa chochote hata kama wana biashara iwe ndogo au kubwa kwa nini hawawaamini? Mshike muendeshe

Mkae muongee msiishie tu kukaa kuongelea nyimbo mpya za Diamond au ugomvi wa Diamond na Harmonize au movie mpya ya bongo movie ya karibuni au Mayele alivyo kiboko kwa simba
 
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.

Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Makongoro na ule msemo wake kenye kampeni ....... YUPO.
 
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.

Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Si ajabu mzawa kurudi nyumbani baada ya kutoonekana nyumbani muda mrefu wakati si rafiki
 
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.

Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Kuna mzee mwingine anaitwa Mkuchika. Naye hazeeki
 
Tatizo vijana wengi wakibebwa wana jeuri acha ona akina Nape wanavyotamba ohh Sisi ndio.wenye nchi wenye chama.Hopeless kabisa

Vijana pekee watoto wa kiongozi wa juu wanaojielewa na watoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi tu.Wametulia kuanzia character na wako focussed katika maisha na kila mtu hujisikia vizuri kuwa karibu nao au kufanya kazi nao nk

Lakini watoto wa viongozi wengine ni pasua ki cha wanabebwa lakini hawatumii migongoni sio hao tu wako vijana kibao waliobebwa toka majalalani lakini performance yao ni kijeuri jeuri tu

Nafikiri viongozi juu wameanza kushtuka kuwa tuache kubeba vijana tu sababu tunataka kuwabeba tuangalie performance na tuchanganye wazee na vijana kwani ukiwaachia peke yao wanavurunda

Vijana ndio wamelazimisha hili lakini chama Serikali ,bunge na mahakama walikuwa wameanza process za ku hand over kwa vijana kuanzia kipindi cha mkapa.

Lakini matokeo bado sio mazuri sana post kubwa vijana naona wanayotumia kama kuringishia tu na kuzitumia zaidi tu.kutambia kuwa nani au utajijua.Kituko akujue wewe nani wakati unajulikana na uliapishwa mbele ya vyombo vya habari si ujinga huo ohh hata mnizomee mimi ndio nilishapata hivyo!! Huo ni Utoto.Ni vyema wabeba.mbeleko vijana na kuwapa post ongeeni na vijana wenu mliobeba migongoni kuwa waache kurusha rusha Mateke huko mgongoni

Chapa kazi
Ndo naona point yako Leo kwenye hiki kijiwe Cha max
Mungu akubariki
 
Ni mkakati maalum wa 2025, kamati kuu ndio kila kitu katika chama, ni lazima uwe na colum ya kutosha ya watu ambao wapo royal kwako, hawezi kuwaamini kina Kassim.

Natumai ulimaanisha neno 'loyal'.

-Kaveli-
 
Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Teh teh teh 😂😂 acha kutafuta ugomvi wewe jamaa.
 
Old and young can make things move with caution. We do not expect much from Mzee wetu Wasira he should retire.
 
Back
Top Bottom