YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Fanyeni vikao kwa nini hadi wazazi wenu hawataki kuwapa chochote hata kama wana biashara iwe ndogo au kubwa kwa nini hawawaamini? Mshike muendesheDuh vijana wenzangu tutaula lini?
Mkae muongee msiishie tu kukaa kuongelea nyimbo mpya za Diamond au ugomvi wa Diamond na Harmonize au movie mpya ya bongo movie ya karibuni au Mayele alivyo kiboko kwa simba