othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Unataka vijana kama akina makonda, sabaya, hapy, mnyeti?CCM yangu imeamua kujifia na wazee.
Hakuna mawazo mapya
Hakuna mwanzo mpya
Ni kuokoteza okoteza kwenye tenga la matunda mabovu
Yupooo..!!Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu , ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya ccm , hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa .
Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro , aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani .
Hawa wazee hawataki kutoka kwenye system hata kidogoHii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu , ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ccm , kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya ccm , hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa .
Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro , aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani .
Makongoro ana mambo! Eti Wasira hajui msamiati wa KUNG'ATUKA!YUPO (Kwa sauti ya Makongoro)
Aiseeee !!!JK amefanikiwa kurudisha system yake yote
Jamaa anajisikia yupo madarakani fresh snAiseeee !!!
yeye mwenyewe hatakiMakongoro ana mambo! Eti Wasira hajui msamiati wa KUNG'ATUKA!
Akina Paulsilvester na akina Eltwege na Stroke wao waendelee kuimba mapambio tuHii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.
Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Vijana waliharibu maana walikuwa na moto wa ajabuVijana wamelikoroga wenyewe enzi za Yuda (Jiwe). Wengi walionesha UKIFUTU badala ya uongozi. Hivyo vijana hawaaminiki tena.
Pale Lumumba hayupo wa kujibu hoja nzito nzito Abt Katiba.CCM yangu imeamua kujifia na wazee.
Hakuna mawazo mapya
Hakuna mwanzo mpya
Ni kuokoteza okoteza kwenye tenga la matunda mabovu
Naunga mkono hoja mzee wasira kuingia atakuwa na mchango mkubwa kuliko MakongoroHii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.
Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Duh vijana wenzangu tutaula lini?Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.
Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Tatizo vijana wengi wakibebwa wana jeuri acha ona akina Nape wanavyotamba ohh Sisi ndio.wenye nchi wenye chama.Hopeless kabisaVijana wamelikoroga wenyewe enzi za Yuda (Jiwe). Wengi walionesha UKIFUTU badala ya uongozi. Hivyo vijana hawaaminiki tena.
duuu, ndugu yangu umetisha hii kali sana kakaHii recycling angalia tu wasijeanza kuteua marehemu.
Mtu alishafariki siku nyingi lakini analamba teuzi kama hamna watu wengine wa kufanya hizo kazi.