Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapendwa napenda kushare nanyi suala moja muhimu hivi majuzi rais baada ya kubadili baraza la mawaziri kuna waziri mmoja alinivutia sana hasa baada ya kuonesha uwezi katika kazi kwani aliibuka mara moja kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa wataanza shughulikia suala la madai ya wakulima ikumbukwe kuwa hii ni mara yake ya tatu kuwa waziri wa kilimo na hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa utendaji kazi pia uadilifu wake ndio unaombeba siku zote kwani katumikia wizara hii mara kadhaa bila kuibia wakulima wanyonge na maskini mzee huyu ndio maana anakubalika sana ndani ya chama na wanyonge wenzake pia tunamkubali hizo ni baadhi ya statement toka kwa baadhi ya watanzania na wakulima wanyonge...

huyu si ndiyee anayepokea housing allowance ya laki sita kila mwezi lakini amekaa bure kibavu kwenye nyumba ya serikali?!!!!what a minute,aliporwa ubunge kwa kashfa ya rushwa.
Hana kashfa?Angekuwa nchi zinazofuata sheria sasa angekuwa Mahakamani kwa kosa la uwizi
Alikuwa anakaa bure nyumba ya serikali huku akidai malipo serikalini kila mwezi kama anadaiwa kodi!Huyu ni mwizi tu kama wenzake wote
Wapendwa napenda kushare nanyi suala moja muhimu hivi majuzi rais baada ya kubadili baraza la mawaziri kuna waziri mmoja alinivutia sana hasa baada ya kuonesha uwezi katika kazi kwani aliibuka mara moja kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa wataanza shughulikia suala la madai ya wakulima ikumbukwe kuwa hii ni mara yake ya tatu kuwa waziri wa kilimo na hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa utendaji kazi pia uadilifu wake ndio unaombeba siku zote kwani katumikia wizara hii mara kadhaa bila kuibia wakulima wanyonge na maskini mzee huyu ndio maana anakubalika sana ndani ya chama na wanyonge wenzake pia tunamkubali hizo ni baadhi ya statement toka kwa baadhi ya watanzania na wakulima wanyonge...
kashfa ya kutoa rushwa katika uchaguzi na kuzuiwa kugombea kwa miaka mitano