Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

kashfa ya kutoa rushwa katika uchaguzi na kuzuiwa kugombea kwa miaka mitano
 
Wassira amekuwa anakaa kwenye nyumba ya Bodi ya Sukari tangu mwaka 2006 bila kulipa pango?

Wassira alipewa nyumba hiyo wakati akiwa Waziri wa Kilimo, lakini kwa sasa cheo chake kinahusiana nini na hiyo nyumba?

Wakati huo huo Wassira ana nyumba nyingine ya serikali!

Yaani ukiona CCM wanakazania kumnadi Wassira kuwa ni msafi pamoja na haya yoooooote, basi ujue kweli chama kimezidiwa na ufisadi. Yaani huyu ndie afadhali!!!!

CCM haifai, ufisadi umeota mizizi ndani yake na hakuna msafiiiiiii.

Source bofya hapa Home
 
Ndg wanajf nipende kuwasalimu nyote.leo asbuhi ningependa kuwashirikisha mambo machache kuhusu huyu mwanasiasa mkongwe na muadulifu katika chama cha mapinduzi

kwanza kabisa nimejaribu kufanya utafiti wa kina kuhusu huyu mzee stephen wasira ni mmoja kati ya viongozi waadilifu wenye msimamo na uwezo mkubwa katika kazi lakin pia kiongozi huyu ni mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na ni kiongozi pekee mwenye upeo mkubwa na mwenye uthubutu wa kushindana na wapinzani ...

pili kiongozi huyu ameonekana mzalendo na mwenye uadilifu wa hali ya juu kwani ni kiongozi ambaye hakuwahi kuhusishwa na kashfa yoyote ya ufisadi ukilinganisha na viongozi wengine hata hivyo tangu ameingia katika uongozi amejijengea heshima kwa kuwa muadilifu na mwenye msimamo tangu akiwa kiongozi tangu miaka ya 1960' ..

lakin pia nimepata taarifa kuwa mzee aliwahi kutuhumiwa kwa rushwa na kesi ya uchaguzi dhidi ya jaji joseph warioba
pia mzee aliwahi kuhama chama na kuwa chama pinzani NCCR mageuzi mwaka 1995
nilipojaribu kupata taarifa kwa watu wa karibu na wasiokuwa na interest kuhusu urais wake nilipata yafuatayo..

kuwa mh wasira alihama chama kweli lakin si kwasababu aligombana na chama bali alinyang'anywa haki yake na warioba ambaye alikuwa prime minister kipindi kile hivyo alitumia nafasi yake ya uprime minister kunyang'anya haki ya mzalendo huyu lakin bado taarifa nyingi zinadai kuwa wasira alihama chama baada ya kushinda kwenye kura za maoni yaani kati ya vijiji kumi alishinda vijiji nane na warioba alishinda vijiji viwili lakin jaji warioba alijaribu kutafuta ushindi kwa nguvu hivyo alimfanyia fitina kijiji cha nyumbani kwake kwa kuwapigisha kura hadi wale wanafamilia wake kitu ambacho ni kinyume na kabisa na utaratibu kwani kipindi kile ni mabalozi tu ndio waliohusika kupiga kura za maoni ....

bado niliendea kufanya utafiti na kupewa data kuwa mh wasira ndipo alipoamua kuhama chama kwani ni kama alinyimwa haki yake kwa nguvu ...na suluhisho pekee ni kusikiliza sauti ya wananchi kwani wengi walimtakaj wasira arudi jimboni kwake . uchaguzi ulifanyika na wasira alishinda kwa kishindo hapo ndipo kesi ya warioba na wasira ilpoanza rasmi ...
kuhusu rushwa kuna madai kuwa wasira alitoa rushwa ili kuweza kupita uchaguzi kesi hizo rumors za kisiasa na si kwamba alitoa rushwa bali alituhumiwa kuwa na mazingira ya rushwa ambayo yalikosa ushahidi na siku zote rushwa ni kesi ya jinai je kama alihusika na hiyo rushwa iweje iliruhusiwa kugombea tena 2005 ....
kwa leo niishie hapa WASIRA ANATOSHA hana pesa anathamini utu na uadilifu pamoja tumuunge mkono mzee huyu.
 
Wasira ataendelea kuwa juu kwa utendaji wake mzee anajua anachofanya kwenye utendaji wake.
 
kama mwalimu nyerere alimteua Mh WASIRA katika serikali yake basi huyu ni mzalendo wa kweli kwani mwalimu hakumteua mtu bila kumpa uadilifu
 
Wapendwa napenda kushare nanyi suala moja muhimu hivi majuzi rais baada ya kubadili baraza la mawaziri kuna waziri mmoja alinivutia sana hasa baada ya kuonesha uwezi katika kazi kwani aliibuka mara moja kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa wataanza shughulikia suala la madai ya wakulima ikumbukwe kuwa hii ni mara yake ya tatu kuwa waziri wa kilimo na hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa utendaji kazi pia uadilifu wake ndio unaombeba siku zote kwani katumikia wizara hii mara kadhaa bila kuibia wakulima wanyonge na maskini mzee huyu ndio maana anakubalika sana ndani ya chama na wanyonge wenzake pia tunamkubali hizo ni baadhi ya statement toka kwa baadhi ya watanzania na wakulima wanyonge...
 
hahaaaaa unajua kwann muda wooote hakuna aliechangia???kwakuwa hakuna anaeona kama Wasira anafaa kwalolote,Acha upuuuzi
 
Nan kasema Wassira anafaa? Kwalipi au kwa uwongo?

Wassira ndiye alidanganya hadhalan kuwa cdm itakufa kabla ya 2015

Huyu wassira ndiye aliyechochea vurugu Geita-kuchinja ni Ibada.

Waislam na wakristu ikawa balaa na upuuzi kuenea maeneon mengi nchin mpaka Tunduma, Abbas Kandolo mkuu wa mkowa wa mbeya anafaham joto lake kwa ujinga wa huyu kiumbe anayeitwa Steven Wassira, Kandoro alikwenda mafichoni kwa upuuzi wa kauli na maneno ya Wassira akiwa Mwanza. Neno ibada alishindwa kulitumia vema likaleta majanga.

Wassira nikichwa maji hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi.

Ni huyu Steven Wassira na Willium Lukuv na Ghalib Billal, Omary chande wakishirikiana na Kikwete kuvuruga amani ya nchi, wakifahm fika serikali haina din kupitia pinda wanaingiza Mahakama ya kadhi bungen ilikuwagawa wabunge na Taifa.

Sion ubora wowote wa huyu mshauri wa rais kama sio umbumbumbu zaidi na zaid.
 
Wapendwa napenda kushare nanyi suala moja muhimu hivi majuzi rais baada ya kubadili baraza la mawaziri kuna waziri mmoja alinivutia sana hasa baada ya kuonesha uwezi katika kazi kwani aliibuka mara moja kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa wataanza shughulikia suala la madai ya wakulima ikumbukwe kuwa hii ni mara yake ya tatu kuwa waziri wa kilimo na hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa utendaji kazi pia uadilifu wake ndio unaombeba siku zote kwani katumikia wizara hii mara kadhaa bila kuibia wakulima wanyonge na maskini mzee huyu ndio maana anakubalika sana ndani ya chama na wanyonge wenzake pia tunamkubali hizo ni baadhi ya statement toka kwa baadhi ya watanzania na wakulima wanyonge...

Lazima utakuwa umekunywa kiroba kabla ya kupost.......
 
Bangi hizi za Jumamosi wakati watu tuko ibadani ni mbaya sana aisee, Wassira? au wa-Hasira? au Wa-hasara? hahahaha
 
huyu si ndiyee anayepokea housing allowance ya laki sita kila mwezi lakini amekaa bure kibavu kwenye nyumba ya serikali?!!!!what a minute,aliporwa ubunge kwa kashfa ya rushwa.
 
Wapendwa napenda kushare nanyi suala moja muhimu hivi majuzi rais baada ya kubadili baraza la mawaziri kuna waziri mmoja alinivutia sana hasa baada ya kuonesha uwezi katika kazi kwani aliibuka mara moja kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa wataanza shughulikia suala la madai ya wakulima ikumbukwe kuwa hii ni mara yake ya tatu kuwa waziri wa kilimo na hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa utendaji kazi pia uadilifu wake ndio unaombeba siku zote kwani katumikia wizara hii mara kadhaa bila kuibia wakulima wanyonge na maskini mzee huyu ndio maana anakubalika sana ndani ya chama na wanyonge wenzake pia tunamkubali hizo ni baadhi ya statement toka kwa baadhi ya watanzania na wakulima wanyonge...

Naona umeamua kujilipua kwa hiari yako mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!; Wassira tena?! I reserve my remarks.
 
huyu si ndiyee anayepokea housing allowance ya laki sita kila mwezi lakini amekaa bure kibavu kwenye nyumba ya serikali?!!!!what a minute,aliporwa ubunge kwa kashfa ya rushwa.

Fisadi tu!
 
Hana kashfa?Angekuwa nchi zinazofuata sheria sasa angekuwa Mahakamani kwa kosa la uwizi

Alikuwa anakaa bure nyumba ya serikali huku akidai malipo serikalini kila mwezi kama anadaiwa kodi!Huyu ni mwizi tu kama wenzake wote
 
Kala pesa ya escrow na kamati yake ya saidia Wasira awe Rais Wapo busy kusaka wakulima wa kizungu Ulaya, Zimbabwe , Namibia,South Africa na America waje Tz wapewe Ardhi dili linasukwa na Lukuvi na wahindi akina Shivacom yule Mhindi ambaye alinunua Rada na ndege ya Rais ambaye kamjengea Gorofa Lukuvi kisha akapiga Debe ili awe Waziri wa Ardhi kisha wapole Ardhi na kujimilikisha kiulaini , Lukuvi na wasira Lao ni moja Wasira ataleta wakoloni wakulima wa kizungu na Lukuvi atatoa Ardhi .
 
Wapendwa napenda kushare nanyi suala moja muhimu hivi majuzi rais baada ya kubadili baraza la mawaziri kuna waziri mmoja alinivutia sana hasa baada ya kuonesha uwezi katika kazi kwani aliibuka mara moja kwenye vyombo vya habari na kusema kuwa wataanza shughulikia suala la madai ya wakulima ikumbukwe kuwa hii ni mara yake ya tatu kuwa waziri wa kilimo na hii ni kutokana na uwezo wake mkubwa wa utendaji kazi pia uadilifu wake ndio unaombeba siku zote kwani katumikia wizara hii mara kadhaa bila kuibia wakulima wanyonge na maskini mzee huyu ndio maana anakubalika sana ndani ya chama na wanyonge wenzake pia tunamkubali hizo ni baadhi ya statement toka kwa baadhi ya watanzania na wakulima wanyonge...

Tulia Sindano ukuingie => mara hii kaja kivingine kaja kupiga Pesa kumbuka sasa ni mda wa magharibi ni mwendo wa Chukua chako mapema(ccm) Wapambe wake Hivi sasa wapo Zimbabwe wanawashawishi wakulima wa kizungu watoe Pesa kwa Wasira kama Rushwa kwa ahadi kuwa Akiwa Rais atawahamishia Tz toka Zimbabwe na kuwapa mashamba makubwa bure na wao kujilimia kiulaini.
 
kashfa ya kutoa rushwa katika uchaguzi na kuzuiwa kugombea kwa miaka mitano

Kashfa hii Hapa ipo njiani inakuja kachukua Pesa kwa wazungu ili Akiwa Rais arejeshe Ukoloni kwa kuwapa mashamba wakulima wa kizungu.
 
Kashfa sio rushwa tu babu, kufungua zipu hovyo hovyo ni kashfa kubwa zaidi kimaadili...!
 
Back
Top Bottom