Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nyumba ya bodi ya sukari, nani anaishi??????

Rais tumtakae 2015 ni lazima:Awe mzalendo kwa vitendo;
Awe na uchungu na Rasilimali zetu;Achukie ufisadi na rushwa na lazima atuonyeshe kuwa anakerwa na mambo kwa dhati;Aheshimu Demokrasia;Asiwe mKabila,mDini au mKanda;Asiwe na kashfa za Ufisadi;Asiwe na tamaa ya madaraka;Asiwe ni miongoni mwa walio laaniwa na Baba wa Taifa;Awe ni mwanaSiasa anayependelea siasa safi;
Anayechukia na kuzikemea siasa chafu;Awe ni mwenye maono ya mbali;Mwenye mawazo ambayo yalileta matokeo mazuri iwe katika Chama chake cha Siasa au serikali aliyowahi kuitumikia;Awe anapendelea uwazi na awe tayari kutuambia Watanzania kiasi cha mali anachomiliki na atuambie namna alivyoipata hiyo mali;
Aiunge mkono Rasimu ya Katiba mpya;Akerwe na matumizi makubwa yasiyo na tija kwa Taifa yanayofanywa na Serikali;Achukie uchumi unaendeshwa kwa Mikopo;Akerwe na deni la Taifa;Achukie mfumko wa Bei;Achukie uduni wa miundo mbinu yetu ya barabara na reli;Na awe anapendelea diplomasia ya kiuchumi na Mataifa mengine.
Haya NDIO moja YA mambo ambayo MZEE WASIRA ANAKERWA NAYO
NA HIO NDIO SIFA YA KWA NINI NAMUUNGA MKONO KWA DHATIView attachment 225925
Itoshe kusema kuwa wapambe wa Wassira, Membe, Pinda, Nchemba mnatukera sana humu Jamvini... Haya matakataka mnayojitahidi kuyauza humu HAYAUZIKI hata kwa dinari moja!!! Hayana thamani mbele ya Watanzania ... Wameifanyia nini Taifa hili Zaidi ya kulitia Najisi? Muulize huyo Wassira ilikuwaje Nyerere akampotezea baada ya kuendekeza Ukabila uliopitiliza kwenye kiwanda cha Mutex? ...
Hivi unajua huyu bwana ameshakumbwa na kashfa ya rushwa huko jimboni kwake,hilo mbona hukuliweka hapa?Hakuna kiongozi mwingine mwenye sifa hizo zaidi ya wassira!
Hakika watanzania hawana mubadala wa wassira! matumaini ya kweli ya watanzania yapo kwa wassira!
Rais tumtakae 2015 ni lazima:Awe mzalendo kwa vitendo;
Awe na uchungu na Rasilimali zetu;Achukie ufisadi na rushwa na lazima atuonyeshe kuwa anakerwa na mambo kwa dhati;Aheshimu Demokrasia;Asiwe mKabila,mDini au mKanda;Asiwe na kashfa za Ufisadi;Asiwe na tamaa ya madaraka;Asiwe ni miongoni mwa walio laaniwa na Baba wa Taifa;Awe ni mwanaSiasa anayependelea siasa safi;
Anayechukia na kuzikemea siasa chafu;Awe ni mwenye maono ya mbali;Mwenye mawazo ambayo yalileta matokeo mazuri iwe katika Chama chake cha Siasa au serikali aliyowahi kuitumikia;Awe anapendelea uwazi na awe tayari kutuambia Watanzania kiasi cha mali anachomiliki na atuambie namna alivyoipata hiyo mali;
Aiunge mkono Rasimu ya Katiba mpya;Akerwe na matumizi makubwa yasiyo na tija kwa Taifa yanayofanywa na Serikali;Achukie uchumi unaendeshwa kwa Mikopo;Akerwe na deni la Taifa;Achukie mfumko wa Bei;Achukie uduni wa miundo mbinu yetu ya barabara na reli;Na awe anapendelea diplomasia ya kiuchumi na Mataifa mengine.
Haya NDIO moja YA mambo ambayo MZEE WASIRA ANAKERWA NAYO
NA HIO NDIO SIFA YA KWA NINI NAMUUNGA MKONO KWA DHATIView attachment 225925
labda akagombea uraisi wa manzeseHaku kiongozi mwingine mwenye sifa hizo zaidi ya wassira!