Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

Unafundishwa bado unakosea. Unapewa maana halisi bado kichwa kigumu.
Marehemu ni deadwood? Hujui english. Rudi class 5 ujifunze grammar.
.patriot mi huko nlishatoka...Yani can't imagine you have been reduced to this level of thinking...wewe jamaa Kama hujabadili status. We miaka mingi nyuma arguments zako zilikuwa kwenye level ya kina #nguruvi..kiranga...etc etc..lakini baada ya kuasi na kuanza kuabudu ushetani wa utawala uliopita umekuwa so shallow..to the point ya kuanza kuangalia typos na grammar kweli!we na kina mwanakijiji..need a change to your wasted brains...and I mean this....najua wote ukabila ndio ulichangia kuwatoa akili...
 
Unaandika nini hapa wewe? Soma ulichoandika. Nini hiki? Kiingereza, hovyo!! Sentensi hazielweki!
Usishangae tupo hapa kuwafundisha watu wa aina yako.

Hata kindergarten huwa nafundisha mimi! Tatizo ni uwezo mdogo wa kujiongeza ulionao. Unaweza kulazimisha neno Deadwood liwe na maana ya marehemu?
 
.....huna hoja....
 
Huyu dawa yake ni yule dada wa Chadema
Sasa yuko huko huko ndani ya CCM kwa mbeleko ya Ndugai. Sijui Ndugai atawajibu nini wana CCM wenzake maana waliyeshiriki naye kuwavuta hawa Covid 19 kishakua Mwendazake.
 
Tuweke kabisa na asilimia za FURAHA. Maana acha tu
Asilimia ya furaha itajulikana zaidi baada ya siku 100 akiwa madarakani maana itakuwa imeongezeka mara dufu, kwa sasa itoshe tu kuwa matumaini yameanza kuonekana baada ya miaka 6 ya maneno matupu ya Mwendazake.
 
Back
Top Bottom