Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

Stephen Wassira: Watanzania wamemuelewa na kumuunga mkono Rais Samia; wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka

Hayati mpendwa wetu JPM angeshuhudia utendaji wa huyu mama yetu Samia S Hassan , hakika nae angeunga mkono jitihada kwa namna mama amekua kiongozi wa mfano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka umri wangu huu nilikuwa sijawahi kuona mtu akifa watu wanafanya sherehe mpaka alivyokufa jiwe... shangwe kila kona!🎂🍾🥤🎺🎻🪕🔥🔥

Ilinishangaza sana ,kuna mtu alinipigia simu akawa anafurahi yupo bwiiiiiii anashangilia MEKO kafa Daaah ila ni Mnyonge tu Mkulima wa mboga mboga.
 
Ilinishangaza sana ,kuna mtu alinipigia simu akawa anafurahi yupo bwiiiiiii anashangilia MEKO kafa Daaah ila ni Mnyonge tu Mkulima wa mboga mboga.

ungemsikitiki tu masikini.

maana bado hajajua hata matatizo yake chanzo ni kipi.si ajabu saa hizi akakupigia anaomba hela ya kununua sabuni.
 
Mimi sijafurahi, walio furahi ni wale wavivu, 10 percent, fisadi, vigogo na wala rushwa na wachumia tumbo
Hoja yako hapa ninini?Sbb fisadi number moja ni jiwe labda wafuasi wake waliobaki ndio unaowazungumzia kufurahi, alibadilisha kila mahali vitengo vyote vya pesa aliweka SUKUMA GANG
 
Hoja yako hapa ninini?Sbb fisadi number moja ni jiwe labda wafuasi wake waliobaki ndio unaowazungumzia kufurahi, alibadilisha kila mahali vitengo vyote vya pesa aliweka SUKUMA GANG

maneno yako dhidi ya jiwe ni kama kishindo cha nzi kwenye mwili wa tembo.

bure kabisa.
 
Katiba yetu imejenga taifa la wanafiki. Rais anateua na kufukuza zaidi ya wstumishi 90% wa serikali.

Hivyo kila mmoja kwenye taifa la watu 60M ajipendekeze kwa Rais apate uteuzi, na akiyepata teuzi anagonga pambio zito asifukuzwe, aendelee kuwepo.
This is insane kabisa, yani kila mtu aweke akili yake likizo aishi kwa akili ya raisi
 
Zee janja hili kumbe limegundua watu wanakamshange isiyo kifani... (mnisamehe kwa matumizi ya Lugha wakuu haijazingatia sarufi ya lugha)
 
Back
Top Bottom