Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hizo ngonjera zipo kwa wana ccm na kwa vibaraka wa ccm waliopandikizwa kwenye vyama vya upinzani.ndugai wa bandari ya bagamoyo[emoji28][emoji28].
siku moja mpinzani mkubwa kabisa atasimama aitishe waandishi na kumtaja magufuli kama kiongozi bora kuwahi kutokea.
Mungu akusaidie,anisaidie siku hiyo nikukumbushe quote yangu hii.
tuendelee kuishi mkuu.