babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Jamani vipi Mzee wetu Lugemarila bado anaozea jela? Wakati Raisi Samia ameagiza Manji arudi awe huru hii imekaajeKweli kabisa walikuwa wana muogopa. Kwa nini usimuogope mtu ambaye ana miliki kikosi cha WASIOJULIKANA ambacho kina nguvu kuliko jeshi la Polisi. Ukimkosoa tu wanakuja popote na Noah wanakukamata na kukupoteza.
Kwa nini usimuogope mtu ambaye anakupeleka Segerea na kujufungulia mashtaka ya kutakatisha fedha yasiyo na dhamana kisa umemkosoa tu??