Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Wewe unachumia matako ?Mimi sijafurahi, walio furahi ni wale wavivu, 10 percent, fisadi, vigogo na wala rushwa na wachumia tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unachumia matako ?Mimi sijafurahi, walio furahi ni wale wavivu, 10 percent, fisadi, vigogo na wala rushwa na wachumia tumbo
Tatizo lako source yako ya habari ni tbc na radio uhuruTitle imekaa kichonganishi tofauti na maelezo.
Sijamsikia Wasira lakini maelezo yanaonesha kuwa Watu wamepata matumanini mapya kwa Mama Samia baada ya machungu ya msiba.
siku wahi kuwa upande wake tangu mwaka 1995, alikuwa mtu mlaghai aliyejaa chuki na visasi.Hata wewe umemgeuka?
jinga lile ndio limejidharirisha kwelikweli lile.Hata ndugaye rafiki yake kesha fanya yake
Jamaa kaamua kubadilisha idStroke
Ukiona hivyo ujue alilazimishwa kupotea ndo maana ameibuka sasa anatema nyongo.Maskini wassira, alipotea naona ameibuka tena mzee wtu huyu
Tayari wameshaanza kumwaga hizo habariSasa hivi yutagundua mengi sana
Nae alizidi alikuwa anatawala binadamu wenzake utafikili anatawala MBUZIHakuna aliyekuwa anampenda jiwe ...
Ilibidi uwe mnyofu kwelikweli, mjamaa haswa, mnyerere haswa ndo utamfurahia Magu lakini nje ya hapo utamchukia kweli kweliHakuna aliyekuwa anampenda jiwe ...
Pamoja na kulifanyia taifa overhaul lkn bado wale masalia ya mwendazake bado wapo tu kama huyoKwani yeye siyo raia wa nchi hii! Acha kuziba midomo wenzako wanaotoa madukuduku yao!
Wewe hapo bintiNani huyo ??
Wewe hapo bintiNani huyo ??
Kabadili jina ila comment zake ni zile zile za kiCCMJamaa kaamua kubadilisha id
Utawaweza watu wanafiki!Title imekaa kichonganishi tofauti na maelezo.
Sijamsikia Wasira lakini maelezo yanaonesha kuwa Watu wamepata matumanini mapya kwa Mama Samia baada ya machungu ya msiba.
Mzee Wasira ambaye amekuwa waziri katika serikali tangu uhuru mpaka serikali ya awamu ya nne ya JK amesema Kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeongezeka. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Azam TV. Aidha amesema baada ya masikitiko ya muda mfupi kufuatia kifo cha Magufuli nchi imerudi kwenye reli baada ya hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan.
Kumbe furaha hii pia imetamalaki ndani ya CCM na wapambe wanafiki wa Magufuli!
===
Akizungumza Apr 9, 2021 kwenye kipindi cha Morning Trumpet kinachorushwa na Azam TV, Mzee Wassira amesema:
"Namwambia nini Rais? Namtakia heri. Namtakia heri aongoze nchi yetu vizuri. Na kitu kimoja ambacho ningependa Rais ajue ni kwamba: kwa hotuba hizi tu, Watanzania wengi wamemuelewa na wanamuunga mkono. Wanasema kiwango chao cha furaha kimeongezeka; kwasababu tumesikitika [kufuatia kifo cha Rais Magufuli] lakini tumerudi kwenye reli."