Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani

We taaira kweli...sa mm muongo kwani yeye c ndo anayetaja miaka yake,
Eti 22???

Sasa we hujajua km mastaa hupenda kushusha umri wao ili waonekane wadogo kila cku acha kudanganywa ww na kauli zao feki na hta macho yko yameshindwa kujudge
Kuna Uzi mwingine uko umeanzishwa na Likud nenda kausome ndo utapata ufafanuzi wa ndani juu ya nnachokiandika.Ameongopa hadi Beyonce umri wke na imeshagundulika umri wake sahihi toka kwenye nyaraka za kadi za clinic uko majuu ndo itakuwa wema mamake yuko hapahapa bongo
 
"Urefu" ni kuanzia kipimo gani? Maana kipimo hicho hicho unaweza kusema mrefu, mimi nikasema mfupi.

acha ubishi mkuu...kilichofanya waconfuse kuwa Napoleon ni mfupi,ni sababu makamanda aliokuwa anaongozana nao muda mwingi walikuwa ni majitu marefu sana alafu yana miili mikubwa...napoleon alikuwa na urefu wa kawaida ila hakuwa mfupi...
 
Kweli kabisa , watu wengi mapovu yanawatoka Clement kumchukua kajala , si kwa kuwa wanamtetea wema , ila wivu tu unawasumbua , maana kajala china sasa ivi kama anaenda location kushut movie , huku nyuma wabongo mapovu yanawatoka.

Wamuache kajala ale bata bata , kuchuna buzi ndo habar ya mujin au sio binamu? So wamuache kajala achune buzi
 
acha ubishi mkuu...kilichofanya waconfuse kuwa Napoleon ni mfupi,ni sababu makamanda aliokuwa anaongozana nao muda mwingi walikuwa ni majitu marefu sana alafu yana miili mikubwa...napoleon alikuwa na urefu wa kawaida ila hakuwa mfupi...

Hakuna kuelewa vizuri bila ubishi, kwa hiyo ukiniambia niache ubishi ni kama unabiambia niache kutafuta kuelewa.

Hujapata kunijibu swali kwamba ufupi unaishia wapi na urefu unaanzia wapi. Kitu kimoja kilekile wewe unaweza kukiona kirefu mimi nikakiona kifupi, kwa hiyo kama hatujaelewana kuhusu tunapimaje tunaweza kubishana kwa semantics.
 
mtu mfupi ukimuona si unamtambua tu,,mtu kama Steve Nyerere unaitaji vipimo kumuita mfupi....point ya uanajeshi enzi izo sifa za kuongia jeshi ilikuwa lazima uwe mrefu sasa kwa logic ya kawaida hawezi kuwa mfupi.
 
Kajala kaingiaje kwenye hii quote?? Put her out of this quote since she is not the subject in my argument. Ulipaswa ujibu hoja yangu ila si kwa kudiverge. Mie nilikujibu wewe as Ndio uliona Kama Kuchuna mabuzi mjini au kudanganya ni jambo jipya saaana Kumbe hakuna jipya. Anyways kila mtu Ana uchaguzi wake...wema amechagua maisha yake aliyochagua. Pia maana ya mafanikio inatofautiana kutoka na na mtu na mtu hata kula ukashiba kwa miaka mzima ni mafanikio pia.
 
Hahhjhhahhhhhhahhhhaaa duuuuuu hii kaliiii
 
Hujapata kunijibu swali kwamba ufupi unaishia wapi na urefu unaanzia wapi. Kitu kimoja kilekile wewe unaweza kukiona kirefu mimi nikakiona kifupi, kwa hiyo kama hatujaelewana kuhusu tunapimaje tunaweza kubishana kwa semantics.

ufupi ni kuwa na kimo kidogo kuliko kawaida iliyozoeleka na kima cha wastani cha jamii..kwa hapa bongo ukiwa chini ya futi nne na nusu we ni mfupi.
 
ila ni kweli utachuna mpaka lini bora angekuwa na digrii yake kwa future mana Wema wa mwanzon na sasa ivi ni tofauti mdada anavozidi kukuwa mvuto unapungua na wazuri wana zaliwa weng Ck mwenyewe alim bahatisha elimu ni kila kitu asset icyo hamishka na wazuri wanazaliwa kila siku na watu wakishakujua tabia n soko linapungua
 
aaah a ah inaelekea binamu hutak hata kumsikia huyo kiumbe, any way..

Duh noma sana , yaan wema anachomilik kwa sasa ni harrier tu , tena aliyomhonga clement , tangu awe na ndomo hakuna development yeyote, dah apa clement lazima akumbukwe, naona atakuwa ana hasira sana na kajala, nasikia kajal
 
ufupi ni kuwa na kimo kidogo kuliko kawaida iliyozoeleka na kima cha wastani cha jamii..kwa hapa bongo ukiwa chini ya futi nne na nusu we ni mfupi.

Napoleon alikuwa na urefu gani na urefu wa Mfaransa wa kawaida ulikuwa urefu gani?

I have to thank you for enlightening me on one aspect, this question is not as clearcut as I thought.

Hata vipimo vyenyewe haviko clear.

Halafu there is a question of "short" by today's standards as compared to the standards back then.
 
Me sijawahi hata kuona cha maana au kuelewa kazi yake hata moja zaidi ya kumuona kwenye media tu.
 
Binamu umekumbwa na mafuriko? Mbona Gossipcopwarumi badala ya ile tuliyoizoea zaidi?
 
Last edited by a moderator:
Me sijawahi hata kuona cha maana au kuelewa kazi yake hata moja zaidi ya kumuona kwenye media tu.

Ningependa kujua wasanii gani bongo wanatoa kazi za maana na kazi hizo ni zipi, na kwa sababu gani ni za maana, kwa mujibu wako.

Swali genuine, niko a bit out of touch na art scene ya bongo.

I thought Steve was a one trick pony.
 
sikumbuki vizuri vipimo vya Napoleon nimemsoma muda kidogo ila walivielezea alikuwa na urefu wa wastani...siikumbuki iyo link.
 
Binamu umekumbwa na mafuriko? Mbona Gossipcopwarumi badala ya ile tuliyoizoea zaidi?

Tupo pamoja kama kawa, cha muhimu ni kupata radha na utamu ule ule kutoka kwa warumi, warumi jina tu hata wewe unaweza kujiita cha muhimu maubuyu au sio binamu?? , mbona umekuwa hadimu sana siku izi??
 
Last edited by a moderator:
Tupo pamoja kama kawa, cha muhimu ni kupata radha na utamu ule ule kutoka kwa warumi, warumi jina tu hata wewe unaweza kujiita cha muhimu maubuyu au sio binamu?? , mbona umekuwa hadimu sana siku izi??

Poa binamu nakuaminia.
Nimetingwa mbaya yaani ni Shida. Hata sipumui
 
Last edited by a moderator:
sikumbuki vizuri vipimo vya Napoleon nimemsoma muda kidogo ila walivielezea alikuwa na urefu wa wastani...siikumbuki iyo link.

Kwa hiyo habari yako ya kwamba kuingia jeshini ni lazima alikuwa mrefu si ya kweli?

Kwa maana hapa unatuambia alikuwa na urefu wa wastani, kuingia jeshini ilikuwa lazima uwe mrefu, ila yeye kwa urefu wake wa wastani ( average height, not tall) aliweza kuingia jeshini.

Aliwezaje kuingia jeshini wakati kuingia jeshini mtu alitakiwa kuwa mrefu (tall) siyo mrefu wa wastani (average height) ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…