hyusuph
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,655
- 690
We taaira kweli...sa mm muongo kwani yeye c ndo anayetaja miaka yake,
Eti 22???
Sasa we hujajua km mastaa hupenda kushusha umri wao ili waonekane wadogo kila cku acha kudanganywa ww na kauli zao feki na hta macho yko yameshindwa kujudge
Kuna Uzi mwingine uko umeanzishwa na Likud nenda kausome ndo utapata ufafanuzi wa ndani juu ya nnachokiandika.Ameongopa hadi Beyonce umri wke na imeshagundulika umri wake sahihi toka kwenye nyaraka za kadi za clinic uko majuu ndo itakuwa wema mamake yuko hapahapa bongo