Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani

Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani

Ukwel stiv analazimisha umaarufu japo umaarufu haumpendi
Mkuu Mrembo by Nature kwa nini unasema hivi?
Kuna habari niliona sehemu na nimeitafakari na niliona kama alikosea sasa sijui kama watu au wewe una mjudge kwa habari hiyo ndio maana nauliza kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ruttashobolwa huyu kijana humuelewi?
Mkuu msimamia kucha kuna maeneo Steve ana kosea lakini sijui kama wewe una maanisha ninapo maaniisha ndio maana na kuuliza kakosea wapi? Pengine tunaongea lugha moja au tofauti.
Hivi unajua ni kiongozi wa bongo movie?
 
Last edited by a moderator:
hizi zinaitwa chuki bila sababu! fatenu yenu kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha uzi huu
 
"Binadamu akiona una mafanikio atakukatisha tamaa songa mbele usigeuke nyuma ndio dunia mie najua umetoka mbali sana king kong ni siri yako sio wote watakupendaaa hiiiiii,tenda mema usingoje shukrani cheka na watu woteeeeee Stivieee nyereree"
 
Nawasubir kwa hamu binamu , nimeshaandaa silaha zote za vita in short nimejikoki , halaf mkonon Nina grenade za hatar, kazi kwako tu
Mkuu warumi katika hil pengine mnaweza kuona Steve yuko sawa na inawezekana ana sema ukweli mtupu lakini kwangu mimi njia aliyo tumia siyo kabisa na kulikuwa hakuna sababu ya kupublish kama kweli alkuwa na nia ya kutoa ushauri.

Kufanya hivi ni kutafuta malumbano na Wema yasiyo na sababu.

Kama kweli alikuwa ana nia ya kutoa ushauri kwa public kulikuwa hakuna sababu ya kumtaja Wema bali angesema wasanii wote waachane na scandal.

Katika hili ni kama ame mtafuta Wema.
 
Last edited by a moderator:
Steve Nyerere anachekesha maisha yake,sio movie anazocheza....hivi awa mabongo movies hawajaona mtu wa kuwaongoza mpaka wakampa uyo kituko?
 
Anaweza kuwa mtoto wa Steve lakini at least amepiga hatua hata ikiwa kwa kuhongwa walau anavitolea jasho. Yeye Steve tangu aanze kuombaomba ana nini? Kila siku anabebeshwa mizigo lakini anaishi kama chokoraa.

Ndio nyie mlikuwa mnasubiliwa kuja kumtetea?
 
Mkuu warumi katika hil pengine mnaweza kuona Steve yuko sawa na inawezekana ana sema ukweli mtupu lakini kwangu mimi njia aliyo tumia siyo kabisa na kulikuwa hakuna sababu ya kupublish kama kweli alkuwa na nia ya kutoa ushauri.

Kufanya hivi ni kutafuta malumbano na Wema yasiyo na sababu.

Kama kweli alikuwa ana nia ya kutoa ushauri kwa public kulikuwa hakuna sababu ya kumtaja Wema bali angesema wasanii wote waachane na scandal.

Katika hili ni kama ame mtafuta Wema.

Hawa si ndo waliosababisha wasanii wasiungane na wema kwenye msiba wa baba yake kwa kuwa wema haudhurii misiba ya wenzie , ila kipind cha ramadhan kutwa walikuwa wanafutur kwa madame , Jamaa huyu ni mnafki, wema hana sauti apa kwa kuwa Steve kashamkuwadia sna kwa mapedeshee hapa town, alichomshaur ni cha kweli asilimia mia , tatizo y awek public huu ushaur?? Kwan sisi unatuus?? Kwan hana namba ya wema?? Juzi alifanya ivi ivi kwa kajala eti anadai anamshauri aache kutoka na bwana wa wema , halaf aka post IG sasa huyu ni kiongoz kweli? Kwan nn hakuwatafuta wema na k akawashaur pemben, so instagram ndo kaona dili? Japokokuwa apo juu kaongea sahihi , na ukweli unauma
 
Last edited by a moderator:
Mkuu warumi katika hil pengine mnaweza kuona Steve yuko sawa na inawezekana ana sema ukweli mtupu lakini kwangu mimi njia aliyo tumia siyo kabisa na kulikuwa hakuna sababu ya kupublish kama kweli alkuwa na nia ya kutoa ushauri.

Kufanya hivi ni kutafuta malumbano na Wema yasiyo na sababu.

Kama kweli alikuwa ana nia ya kutoa ushauri kwa public kulikuwa hakuna sababu ya kumtaja Wema bali angesema wasanii wote waachane na scandal.

Katika hili ni kama ame mtafuta Wema.

Na wapambe wake ndio mnaingia kazini sasa,haya twende kazi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom