Steve Nyerere achaguliwa kuwa kiongozi wa wasanii nchi nzima kueneza amani

Kasema kweliii kabisaaaaaaa

kuna demu mmoja ivi sio staa, ila anasifika sana kwa umalaya , uzuri wake anatembea na watu wenye pesa chafu, mawazir wabunge, vigogo mbali mbali wote kapitia.

Kitu cha maana ambacho namsifia huyo Dada , anatumia umalaya wake vizur, alikuwa hajasoma ila kajisomesha toka certificate mpaka sasa ivi anachukua degree ya sheria kwa uo uo umalaya.

Kajenga nyumba yake na anamiliki magar matatu, Nissan murrano, x-trail na kluger , huyu umalay wake umemsaidia sana , haswa baada ya kuona umuhimu wa elimu na kuamua kurud shule , japokuwa ana nyumba na magar na maisha mazur

Sasa hawa mastaa wetu full mashauz , nyumba za kupanga, magar ya kuazimwa , maana wengine wameshapokonywa kasoro Harrier la pink.

Wakiumwa sasa wanalazwa wodi za sewahaji au mwaisela , yakiwazidia wanaanza kusambaz vibakul wakatibiwe India , wajinga sana
 
Copy kutoka insta. Huu pia ushabiki ugali teh teh
 
Aaah waapi yeye kila cku miaka nenda rudi miaka yke haiongezeki hata ww hushangai au ndo team wema wema...

Of course nampenda Wema since nilipomuona kambi ya miss Tz, kuhusu miaka siwezi sema lolote km ni mdogo au mkubwa as sina info yeyote kuhusu details za kiliniki
 
Una Kadi lake la clinic?? Hivi unajua kujichubua kunakomaza sana, mtoto mdogo waweza muona km bibi?

Ishu sio kadi....ama cheti cha kuzaliwa..
Angalia ile sura ngumu ...wala sio kujichubua wala nn...
Watoto wa 22 wabichi sana....
Yule mtu mzima sema kakomaa afu anajitia kinda eti kazaliwa 90
Atakua kazaliwa miaka ya 80 mwanzon.
 
Copy kutoka insta. Huu pia ushabiki ugali teh teh

Sio ushabiki , wema angejitahid tu akamalizie degree yake , sasa ataishi maisha ya kupiga mizinga mpaka lin??

Si mmeshuhudia wenyew jinsi alivyoumbuliwa na clement?? Kadanganya nyumba yake wakat hata kiwanja hana, ata mtoto wa miaka 19 lulu anamshinda?? Ina maana lulu ni Malaya kuliko wema?? Team wema wangempigia kelele kuhus maendeleo yake nadhan angewasikiliza , umri unaenda na kila siku watoto wabich wanazaliwa.
 
Uhakika ni mvinyo wa wajinga unaodumaza kufikiri.

ok kwaio unaamini sio?....sasa nikwambie sifa kubwa ya kuwa mjeshi au kupata mafunzo ya jeshi enzi izo ilikuwa ni urefu,so Napoleon alikuwa mrefu.
 
Ishu sio kadi....ama cheti cha kuzaliwa..
Angalia ile sura ngumu ...wala sio kujichubua wala nn...
Watoto wa 22 wabichi sana....
Yule mtu mzima sema kakomaa afu anajitia kinda eti kazaliwa 90
Atakua kazaliwa miaka ya 80 mwanzon.

Teh age ya mtu a najua mama au mhusika. Saa ingine USO unadanganya. Mimi ukiniona unaweza dhania mdogo ila ukweli age imeenda. Kwa wengine uso unaonekana mzee Kumbe Watoto tu
 
ok kwaio unaamini sio?....sasa nikwambie sifa kubwa ya kuwa mjeshi au kupata mafunzo ya jeshi enzi izo ilikuwa ni urefu,so Napoleon alikuwa mrefu.

Biography gani ya Napoleon umeisoma inayosema alikuwa mrefu?

Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "Napoleon Complex" ?

http://en.m.wikipedia.org/wiki/Napoleon_complex

"Urefu" ni kuanzia kipimo gani? Maana kipimo hicho hicho unaweza kusema mrefu, mimi nikasema mfupi.
 
Teh age ya mtu a najua mama au mhusika. Saa ingine USO unadanganya. Mimi ukiniona unaweza dhania mdogo ila ukweli age imeenda. Kwa wengine uso unaonekana mzee Kumbe Watoto tu

Ni kweli sometimes uso unadanganya ila wema sepetu mkongwe...yani kuna watu naturally wamekomaa ....
Angetudanganya labda ana miaka 26 au 27 tungebuy that ila 22 nafananisha na ile ishu ya shadrack nsajigwa kuchezea serengeti boys eti naye under 17 hadi wakafungiwa.
 
Biography gani ya Napoleon umeisoma?

Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "Napoleon Complex" ?

soma vizuri hicho kiunga chako ulichoweka ....."British propaganda of the time promoted the idea that Napoleon was short."...izo ni propaganda za waingereza
 
Sio ushabiki , wema angejitahid tu akamalizie degree yake , sasa ataishi maisha ya kupiga mizinga mpaka lin??

Si mmeshuhudia wenyew jinsi alivyoumbuliwa na clement?? Kadanganya nyumba yake wakat hata kiwanja hana, ata mtoto wa miaka 19 lulu anamshinda?? Ina maana lulu ni Malaya kuliko wema?? Team wema wangempigia kelele kuhus maendeleo yake nadhan angewasikiliza , umri unaenda na kila siku watoto wabich wanazaliwa.

Kwan si wamepishana miaka 3 tu...
Uyo lulu ana 19 na uyo wema ana 22
So sio mbaya kwa age gap yao.
Wanakaribia kulingana
 
Sio ushabiki , wema angejitahid tu akamalizie degree yake , sasa ataishi maisha ya kupiga mizinga mpaka lin??

Si mmeshuhudia wenyew jinsi alivyoumbuliwa na clement?? Kadanganya nyumba yake wakat hata kiwanja hana, ata mtoto wa miaka 19 lulu anamshinda?? Ina maana lulu ni Malaya kuliko wema?? Team wema wangempigia kelele kuhus maendeleo yake nadhan angewasikiliza , umri unaenda na kila siku watoto wabich wanazaliwa.

Mbona mambo ya kawaida mjini haya. Inshort hakuna jipya....kupanga, kusema uongo, Kuchuna buzi n.k. Sana sana na muona CK punga kwa kumnyang'anya demu vifaa kisa amepigwa kibuti. Wanawake wengi nyuma ya keybord wanamponda sana wema lakini ukweli hawajapata tu buzi linalochunika. Wapo degree holder nawajua ni wachuna buzi usiku na mchana, hata Kodi tu ya two rooms wanalipiwa na mabuzi, mjini wamewekwa na mabuzi ila utawasikia wanamponda Wema... Hero wema hajamaliza chuo ila Hawa na yeti vyao still ni wachunaji. So Kuchuna buzi kwa mwanamke wa mjini si jambo jipya sema tu inakuwa ishu kwako kwa kuwa amefanya wema.
 
soma vizuri hicho kiunga chako ulichoweka ....."British propaganda of the time promoted the idea that Napoleon was short."...izo ni propaganda za waingereza

Kwa hiyo ufupi unaishia wapi na urefu unaanzia wapi?

Maybe he was not as short as depicted, lakini habari ya kwamba kuwa mwanajeshi ni lazima uwe mrefu, na hivyo alikuwa mrefu, urefu ni nini?

Ukiendelea kusoma hapo utaona alivyojuwa towered over by his guards.
 
Back
Top Bottom