Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Ubunge inaonekana ni kazi ya ajabu hata vichaa wanawezaMsanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika katika Ofisi ya CCM Iringa Mjini kuchukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini.
Uzi wa pili huu una mshambulia sugu, kuna nini mkuu? Pia Joseph haule wapi amekosea? Naomba unifumbue machoSugu na Prof Jay ni wa kulaumu sana, yaani walivyopenya tu wakaingia mjengoni na kufanya siasa zao za kihuni basi bongo fleva na bongo movies zote zimeelekeza macho masikio na pua zao bungeni!!
it was a big mistake tume ya uchaguzi kuwapa viti!! sasa wahuni wote nao eti wanalitaka bunge kwakuwa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu,
what a backward country!!
Mdau kwani Sugu na Prof Jay ni wahuni........... We umejuaje...in Bwege voice.. 😀Sugu na Prof Jay ni wa kulaumu sana, yaani walivyopenya tu wakaingia mjengoni na kufanya siasa zao za kihuni basi bongo fleva na bongo movies zote zimeelekeza macho masikio na pua zao bungeni!!
it was a big mistake tume ya uchaguzi kuwapa viti!! sasa wahuni wote nao eti wanalitaka bunge kwakuwa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu,
what a backward country!!
AiseeeeHuyu kashindwa kuweka jino kwenye hilo pengo ataweza kuwa pelekea maendeleo wana Iringa kweli?
mkuu tafsiri ya uhuni wa Sugu sinayo mimi anayo yeye mwenyewe pata burudani hapa chiniMdau kwani Sugu na Prof Jay ni wahuni........... We umejuaje...in Bwege voice.. 😀
Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika katika Ofisi ya CCM Iringa Mjini kuchukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini.
Uyu dogo hajitambuiMsanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika katika Ofisi ya CCM Iringa Mjini kuchukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini.