Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wewe ni zombieSugu na Prof Jay ni wa kulaumu sana, yaani walivyopenya tu wakaingia mjengoni na kufanya siasa zao za kihuni basi bongo fleva na bongo movies zote zimeelekeza macho masikio na pua zao bungeni!!
it was a big mistake tume ya uchaguzi kuwapa viti!! sasa wahuni wote nao eti wanalitaka bunge kwakuwa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu,
what a backward country!!
Wewe ni zwazwaSugu na Prof Jay ni wa kulaumu sana, yaani walivyopenya tu wakaingia mjengoni na kufanya siasa zao za kihuni basi bongo fleva na bongo movies zote zimeelekeza macho masikio na pua zao bungeni!!
it was a big mistake tume ya uchaguzi kuwapa viti!! sasa wahuni wote nao eti wanalitaka bunge kwakuwa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu,
what a backward country!!
Hahahahahahaha ukistaajabu ya bunge muvi utayaona ya bongo muvi..Bunge lishageuzwa jalala hadi huyu bingwa wa kulamba miguu??? Hapana this is too much..Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere amefika katika Ofisi ya CCM Iringa Mjini kuchukua fomu za kuwani kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini.
Mwenyekiti wao alipata tabu sana kupata Balaza la mawaziri ikabidi awateue kutoka viti maalumu,na kununua wapinzani ili apate mawaziri wenye akili,sasa hapo haijulikani kasimama au kachuchumaa.Hongera Steve kwa uthubutu. Ni haki yako.
Yaani hapo anawazia kujiweka karibu tu na harakati za uchaguzi ili apate chochote kitu.Ubunge inaonekana ni kazi ya ajabu hata vichaa wanaweza
Hongera Steve kwa uthubutu. Ni haki yako.
Ubunge inaonekana ni kazi ya ajabu hata vichaa wanaweza
Huyu kashindwa kuweka jino kwenye hilo pengo ataweza kuwa pelekea maendeleo wana Iringa kweli?
HUyu ni mtaalamu wa kuwahi uwenyekiti wa michango ya rambirambi
Aje tu ajifunze jins wazawa tunavo oparate ccm wakimuweka imekula kwao watadhihirisha Kuwa kweli wao ni jalala hatumtaki ata kumuona ahege uko