Uchaguzi 2020 Steve Nyerere achukua fomu ya Ubunge Iringa Mjini - CCM

Hahahahahahaha ukistaajabu ya bunge muvi utayaona ya bongo muvi..Bunge lishageuzwa jalala hadi huyu bingwa wa kulamba miguu??? Hapana this is too much..
Anatakiwa akamatwe ashikiliwe kwa mda ahojiwe motive behind kuchukua fomu,Taifa lipo kwenye zoezi muhimu la hatima ya Tanzania halafu juha mmoja anakuja kuleta mzaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…