Steve Nyerere amejiuzulu Uraisi wa Bongo Movie

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Kutokana na fitna nyingi zinazoendelezwa na aliyekuwa kiongozi wa Bongo Movie William Mtitu, pamoja na mjomba Mrisho Mpoto raisi was bongo movie ameamua kuachia madaraka, wasanii mtakula wapi kampeni 2015???
 

Attachments

  • 1410529604006.jpg
    58.4 KB · Views: 1,793
Umechoka kula rambi rambi au ukuwadi unalipa zaidii ninii
 
Heri ajiuzulu huwa nashangaa Nani kamchagua huyu mwehu

Hahahahaha alichaguliwa na wasanii ili kampeni za 2015 wapige pesa sasa Mtitu anatia kitumbua maji


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Bora pia maana walipojipendekeza kwa mafisadi walikera sana
 
Bongo movie kweli magalasa matupu, sasa huyu rais gani hata kuandika lugha ya taifa hajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…