Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa nasikia wamemtimua sababu ni shoga anaaibisha Bongo Movie
Kitu ambacho hujui ni fitna anazopiga mtitu na mpoto baada ya Steve kumsaidia Dida pspf wadhamini uzinduzi wa filamu ya Dida ya ughaibuni
Jamaa anayake mabaya lakini bongo movie kaipaisha
Wabongo bana, kila kitu zengwe tu, mbona huko kwa kina Brad Pitt hatujawasikia kuwa na president wa movie zao.
Tena siku hizi kila mtu anataka kujipa cheo cha urais, enzi za mwalimu kulikuwa hakuna haya mambo, president alikuwa mmoja tu. Lakini siku hizi, hata kibao kata nao wana muheshimiwa president wao, yaani tabu tu!