Steve Nyerere amejiuzulu Uraisi wa Bongo Movie

Steve Nyerere amejiuzulu Uraisi wa Bongo Movie

Jamaa huwa anaongea sana ....huwa simuamini aisee akianza kujisifia nimefanya hili nimefanya hiki daaaaa! wanasema " wachakupiga mayowe wacha waone wenyewe "
 
Kitu ambacho hujui ni fitna anazopiga mtitu na mpoto baada ya Steve kumsaidia Dida pspf wadhamini uzinduzi wa filamu ya Dida ya ughaibuni

mkuu mbna unatoka sana povu..

inaelekea wewe ndye steve,au ni mtu wake wa karibu sana..

tiririka...
 
Naskia jamaa alkuwa anawabania wasanii wenzak madeal,nd wakamchan live akazuga kuresign
 
Wabongo bana, kila kitu zengwe tu, mbona huko kwa kina Brad Pitt hatujawasikia kuwa na president wa movie zao.
Tena siku hizi kila mtu anataka kujipa cheo cha urais, enzi za mwalimu kulikuwa hakuna haya mambo, president alikuwa mmoja tu. Lakini siku hizi, hata kibao kata nao wana muheshimiwa president wao, yaani tabu tu!

Nitake Radhi kwani Kibao Kata sio watu?
 
Back
Top Bottom