Steve Nyerere amejiuzulu Uraisi wa Bongo Movie

Steve Nyerere amejiuzulu Uraisi wa Bongo Movie

Wala sio fitna mtitu umemsingizia. Steve kuwadi na mla rambirambi since kanumba's burial ceremony... Mtitu asiingizwe kabisaaaaa. Alichofanya mtitu ni ujasiri wa kujitoa na kukataa kushiriki maovu.
 
Kutokana na fitna nyingi zinazoendelezwa na aliyekuwa kiongozi wa Bongo Movie William Mtitu, pamoja na mjomba Mrisho Mpoto raisi was bongo movie ameamua kuachia madaraka, wasanii mtakula wapi kampeni 2015???

Hebu twambie hizo fitina alizo fanyiwa Steve na Mtitu!
Ni Siku nyingi Steve amekuwa akilalamikiwa kwenye uongozi wake na bila shaka wengi wamefurahi yeye kujiuzulu.
 
ha ha ha ktkt mazumbukuku yeye alikuwa headmaster' ila jamaa ana degree ya ukuwadi yaan tajiri yoyote akitaka kutafuna bongo movie anamwona yeye' yuko vzr alimkuwadia hadi mamake kwa ustaadhi juma na musoma
 
Duuuuu!
 
Ustaadhi juma wa musoma na Steve na mama yake Steve wana historia, ustadhi juma kabla hajaanza ujambazi wake alishaishi kwa kina Steve na yule ni kama mama kwa ustadhi juma usikurupuke na kutuhumu mama za watu kwa vitu usivyovijua taahira wewe ndio sikatai Steve ana yake mabaya ila heshimu mama za watu
 
Hebu aende tution ya lugha akajifunze kuandika lugha ya kiswahili. Ni aibu kushindwa kuandika vuzuri lugha yako. Namshauri aende English Fountain akajifunze lugha. Ni aibu duuu eti tumeuzunika badala ya tumehuzunika. Mmhhhh.
Afu anaboa kichizi...
 
Wala sio fitna mtitu umemsingizia. Steve kuwadi na mla rambirambi since kanumba's burial ceremony... Mtitu asiingizwe kabisaaaaa. Alichofanya mtitu ni ujasiri wa kujitoa na kukataa kushiriki maovu.

Kitu ambacho hujui ni fitna anazopiga mtitu na mpoto baada ya Steve kumsaidia Dida pspf wadhamini uzinduzi wa filamu ya Dida ya ughaibuni
 
Kama ni kweli itaijengea sifa bongo movie maana ilikuwa inaonekana kama ni propaganda forum ya CCM!!!!
 
Wabongo bana, kila kitu zengwe tu, mbona huko kwa kina Brad Pitt hatujawasikia kuwa na president wa movie zao.
Tena siku hizi kila mtu anataka kujipa cheo cha urais, enzi za mwalimu kulikuwa hakuna haya mambo, president alikuwa mmoja tu. Lakini siku hizi, hata kibao kata nao wana muheshimiwa president wao, yaani tabu tu!
 
Back
Top Bottom