Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Bongo movie kweli magalasa matupu, sasa huyu rais gani hata kuandika lugha ya taifa hajui.
Bongo movie kweli magalasa matupu, sasa huyu rais gani hata kuandika lugha ya taifa hajui.
Kutokana na fitna nyingi zinazoendelezwa na aliyekuwa kiongozi wa Bongo Movie William Mtitu, pamoja na mjomba Mrisho Mpoto raisi was bongo movie ameamua kuachia madaraka, wasanii mtakula wapi kampeni 2015???
ha ha ha ktkt mazumbukuku yeye alikuwa headmaster' ila jamaa ana degree ya ukuwadi yaan tajiri yoyote akitaka kutafuna bongo movie anamwona yeye' yuko vzr alimkuwadia hadi mamake kwa ustaadhi juma na musoma
Bongo movie kweli magalasa matupu, sasa huyu rais gani hata kuandika lugha ya taifa hajui.
ha ha ha ktkt mazumbukuku yeye alikuwa headmaster' ila jamaa ana degree ya ukuwadi yaan tajiri yoyote akitaka kutafuna bongo movie anamwona yeye' yuko vzr alimkuwadia hadi mamake kwa ustaadhi juma na musoma
Huyu jamaa ana kiherehere sana
Afu anaboa kichizi...
Wala sio fitna mtitu umemsingizia. Steve kuwadi na mla rambirambi since kanumba's burial ceremony... Mtitu asiingizwe kabisaaaaa. Alichofanya mtitu ni ujasiri wa kujitoa na kukataa kushiriki maovu.
Kitu ambacho hujui ni fitna anazopiga mtitu na mpoto baada ya Steve kumsaidia Dida pspf wadhamini uzinduzi wa filamu ya Dida ya ughaibuni
Okay mtitu ndo alomtuma ale rambirambi?? Long time Steve Alishalalamikiwa sema tu aliwekwa kiporo
Kuna kundi bongo movie linalonufaika na Steve ngoja utaona tuu watakavyomuomba arudi