Naamini alikuwa ana joke tu ๐๐Kweli akili hana... yaani msigwa agombee demu na huyo bwege ? what a joke !! Musiba kwa status yake aliyo nayo ....demu wa steve nyerere ndiye atakaye wish kupata hata namba za simu za msigwa...achilia mbali kukutana nae tu na ku-shake hands
Licha ya upigaji wa nyalandu.... lakini katika wakati wake alijitahidi kiasi kuutangaza utalii.... nakumbuka aliingia mkataba na team sunderland ambayo ili weza kuitafutia wizara husika kupata deal ya kuitangaza serengeti katika league ya EPL.. na tangazo lilikuwa linarushwa kweli kupitia zile bilboards za pembeni ya pitch..... binafsi naona ule utaratibu ulikuwaga ni mzuri sana kuweza kuwafikia watu wengi duniani kwa sababu league ya EPL ni platform kubwa ulimwengu...hivyo ndio ilikuwa sehemu sahihi kabisa kwetu kama nchi kuweza kuutangaza utalii wetu...nakuweza kufahamika zaidiWell said chief, labda kama lengo lilikuwa kuhamasisha tu domestic tourism lakini kwa kusema kutangaza utalii wetu in general (include international tourism) hapo waziri/wizara husika ilibugi sanaa.
Naamini alikuwa ana joke tu ๐๐
Na hapa lilipo tatizo kubwa kwa nini watu hawaendi porini na si eti kwa sababu hatuvifahamu vivutio vyetu.Kuwe na affordable hotels kwa watu wa kipato cha kawaida. Wazungu wengi wanaofanya utalii wanategemea credit cards. Akishapata mortgage, gari na kazi starehe inayofuata ni kuzunguka dunia. Sehemu kama Egypt unaweza kupata holiday ya $2,000 hiyo ni package pamoja na nauli ya ndege, hotel na usafiri kwa siku saba.
Ukipata watalii 50,000 wanaotumia $2,000 kwa mwaka kuna faida. Wahudumu wa hoteli watakua na uhakika wa kusomesha watoto wao.