Steve Nyerere: Mchungaji Peter Msigwa nimemchukulia mwanamke ndio maana anaendekeza ugomvi na wasanii kutangaza utalii nchini

Steve Nyerere: Mchungaji Peter Msigwa nimemchukulia mwanamke ndio maana anaendekeza ugomvi na wasanii kutangaza utalii nchini

😃😃ebitoke sasa ana impact gani...?nani ambaye anamjua huko duniani...... ? mwananchi wa kawaida ambaye hata kula yake ya mchana inamshinda hawezi kwenda kutalii....bado kwa kiasi,kikubwa sekta hii inawahitaji wageni kutoka nchi za nje ili iweze kukuua zaidi kwa sababu wao wanajimudu kimaisha na pia ni watu ambao wana utamaduni wa kupenda kuizunguka dunia....... kuna watu wamezaliwa hapa hapa bongo na mpaka wamekufa hawana hata hizo interest za mambo ya utalii (wengi tupo katika kundi hili)...... na kikubwa zaidi kinacho changia ni ugumu wa maisha...... ugumu wa maisha umesababisha maisha ya starehe kwa wabongo yawe ANASA Mla Bata
 
Licha ya upigaji wa nyalandu.... lakini katika wakati wake alijitahidi kiasi kuutangaza utalii.... nakumbuka aliingia mkataba na team sunderland ambayo ili weza kuitafutia wizara husika kupata deal ya kuitangaza serengeti katika league ya EPL.. na tangazo lilikuwa linarushwa kweli kupitia zile bilboards za pembeni ya pitch..... binafsi naona ule utaratibu ulikuwaga ni mzuri sana kuweza kuwafikia watu wengi duniani kwa sababu league ya EPL ni platform kubwa ulimwengu...hivyo ndio ilikuwa sehemu sahihi kabisa kwetu kama nchi kuweza kuutangaza utalii wetu...nakuweza kufahamika zaidi
Hawakua sahihi katika lile
 
Steve Nyerere fupi nyundo na sijui kingerefuka hata kidogo tuu kama mwanafunzi wa darasa la pili ingekuwa je? maana hapo ni mfupi km mwanafunzi wa darasa la awali na akili yake ambayo haina hata lepe la utanbuzie day and night anawaza wanawake I wonder ndio maana ana nanihulu
Anapenda au anaokotaokota tu wanawake kama yeye alivyookotwa na Ray Kigosi!
 
😃😃ebitoke sasa ana impact gani...?nani ambaye anamjua huko duniani...... ? mwananchi wa kawaida ambaye hata kula yake ya mchana inamshinda hawezi kwenda kutalii....bado kwa kiasi,kikubwa sekta hii inawahitaji wageni kutoka nchi za nje ili iweze kukuua zaidi kwa sababu wao wanajimudu kimaisha na pia ni watu ambao wana utamaduni wa kupenda kuizunguka dunia....... kuna watu wamezaliwa hapa hapa bongo na mpaka wamekufa hawana hata hizo interest za mambo ya utalii...... na kikubwa zaidi kinacho changia ni ugumu wa maisha...... ugumu wa maisha umesababisha maisha ya starehe kwa wabongo yawe ANASA Mla Bata
Hapa ndio tatizo lilipo na si issue nyingine
 
Mh Waziri na watu aliowachagua kufanya ile kampeni ya kukuza utalii
oohh ohh okay....ahh wale si wajanja tu wapigaji... ukiona kuna kampeni ambayo ndani yake kuna sura ya huyo P.I.M.P steve nyerere ujue hapo kuna mchongo wa kupiga pesa tu.... na sio kuiletea mafanikio sekta husika
 
Nimeangalia hoja za Steve kuhusu kauli alizotoa Mh Msigwa bungeni jamaa amekuja na kashfa na sio hoja kwa nini anastahili nafasi aliyopewa na Mh Kigwangala.

Hivi ina maana anaamini kuwa anaweza kuleta watalii Tanzania ni Mara 10000 Bongozozo anaweza fanya hiyo kazi ila si yeye. Ni kweli yeye, wenzie na Mh Kigwangala walikua na nia nzuri ya kukuza utalii ila hawakua watu sahihi kwa kazi ile

Katika hili la kuwatumia Steve Nyerere na wenzake ndio nimejua kuwa shule tu haitoshi kuondoa ujinga......hivi mashabiki wa Steve Nyerere ni watu wakufanya utalii.....wanaweza kujiorganise nakupanda Mlima Kilimanjaro kweliiii.....Halafu ni nin unaweza kukitumia kupima impact ya ongezeko la watalii vs kampeni yakuwatumia wasaniii......what a stupid decision
 
Huenda walidhani utalii ni sawa na kuhamasisha watu kwenda kupata chanjo ya surua
 
Steve kaongea ujinga sana halafu eti ndiyo kiongozi wa wasanii hili ni tatizo sana. Msigwa alijenga hoja nzuri kuhusu namna bora ya kuutangaza utalii wetu nje ambako ndiyo target kubwa maana huwezi tegemea watalii wa ndani ambao watu wenye uwezo wa kufanya utalii huo ni wachache sana kutokana na kipato. Kwa hali hiyo huwezi tegemea msanii sampuli ya steve aweze kumshawishi hata mgeni tu kutoka Kenya aje aangalie vivutio vyetu kisa kamuona Steve au Dude lazima tuwatarget watu wenye ushawishi mkubwa

Tumtumie Mbwana Samatta au hata klabu yake ya sasa ya Aston Villa, wana mitindo wetu Happiness Magesa, Odemba kwa kuanzia twende kwa hao wengine wakubwa itatusaidia sana kuukuza utalii wetu sasa Steve analeta shutuma zisizo za msingi na kutaka kuaminisha kuwa Msigwa kawadhalilisha wasanii atulie huyo Msigwa alikuwa anadiscuss issue kubwa kuliko huyo mwanamke wa Sinza
 
oohh ohh okay....ahh wale si wajanja tu wapigaji... ukiona kuna kampeni ambayo ndani yake kuna sura ya huyo P.I.M.P steve nyerere ujue hapo kuna mchongo wa kupiga pesa tu.... na sio kuiletea mafanikio sekta husika
Ha ha ha!!

Wameshindwa kutangaza movies zao, wamerukia utalii. Hivi mtu kama Le Mutuz, Ebitoke wana followers gani wenye uwezo wa kuongeza utalii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia hoja za Steve kuhusu kauli alizotoa Mh Msigwa bungeni jamaa amekuja na kashfa na sio hoja kwa nini anastahili nafasi aliyopewa na Mh Kigwangala.

Hivi ina maana anaamini kuwa anaweza kuleta watalii Tanzania ni Mara 10000 Bongozozo anaweza fanya hiyo kazi ila si yeye. Ni kweli yeye, wenzie na Mh Kigwangala walikua na nia nzuri ya kukuza utalii ila hawakua watu sahihi kwa kazi ile

ANATIAA AIBU UNA MKE NA MTOTO KAMA SI WATOTOO UNAONGEA UPUUZI KUWAIBSHA MKEO AMA WAKWE ZAKO

NDIOMAANA MNAITWA MA...AMJITAMBUI
 
Nimeangalia hoja za Steve kuhusu kauli alizotoa Mh Msigwa bungeni jamaa amekuja na kashfa na sio hoja kwa nini anastahili nafasi aliyopewa na Mh Kigwangala.

Hivi ina maana anaamini kuwa anaweza kuleta watalii Tanzania ni Mara 10000 Bongozozo anaweza fanya hiyo kazi ila si yeye. Ni kweli yeye, wenzie na Mh Kigwangala walikua na nia nzuri ya kukuza utalii ila hawakua watu sahihi kwa kazi ile

HIVI NNAMJUA ANAPOISHI MH WETU MROPOKAJI NENDEN MKAONE ALAFU MWELWE MBUNGE NAPESA ZAKE ANAWEZA SHINDWA KUMPANGISHA MWANAMKE
HANA HATA AIBU KABISA KAAMUA KUMZALILISHA MKEWE NA FAMILIA YAKE INASIKITISHA SANA
 
Steve kaongea ujinga sana halafu eti ndiyo kiongozi wa wasanii hili ni tatizo sana. Msigwa alijenga hoja nzuri kuhusu namna bora ya kuutangaza utalii wetu nje ambako ndiyo target kubwa maana huwezi tegemea watalii wa ndani ambao watu wenye uwezo wa kufanya utalii huo ni wachache sana kutokana na kipato. Kwa hali hiyo huwezi tegemea msanii sampuli ya steve aweze kumshawishi hata mgeni tu kutoka Kenya aje aangalie vivutio vyetu kisa kamuona Steve au Dude lazima tuwatarget watu wenye ushawishi mkubwa

Tumtumie Mbwana Samatta au hata klabu yake ya sasa ya Aston Villa, wana mitindo wetu Happiness Magesa, Odemba kwa kuanzia twende kwa hao wengine wakubwa itatusaidia sana kuukuza utalii wetu sasa Steve analeta shutuma zisizo za msingi na kutaka kuaminisha kuwa Msigwa kawadhalilisha wasanii atulie huyo Msigwa alikuwa anadiscuss issue kubwa kuliko huyo mwanamke wa Sinza
Kampeni yote ilikua ni poor allocation of resources
 
Wakati mwinginr ndio manaa wabunge wanawadharau wasanii wa Tanzania.

Sijawahi kujua kabisa steven nyetere kakaangu ana akili zile.

Sijawahi kuona mume mwenye mke na watoto akijisifia hadharani anashindana na Mbunge kugombea hawala

Yule mdada umemchukuliaje hapo ndani na anavyojiheshimu.

Vipi kama kiongozi wa wasanii anatoa taswira gani kwa jamii kwamba anagombania bibi na Mbunge

Inasikitisha sana sana nimeshtuka naamini kulikuwa na njia za kumjibu na sio kuaibisha familia yake.
 
Halafu eti wamemtaka Mheshimiwa Msigwa eti awaombe radhi la sivyo sijui watamfanya nini !

Yani wanajichoresha bora wangepotezea wengine wala tusingejua kinachoendelea wwla kusemwa [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni sahihi kwa mtu wa nje ya Bunge kumporomoshea kashfa mbunge kwa aliyoyaongea ndani ya Bunge? Nina imani kama Msigwa angekua Mbunge wa Chama tawala na Steve angemkashifu namna ile basi angeitwa na ile kamati ya nini sijui ile

Ni kweli Mh Msigwa alimtaja Steve kwa njia ambayo yeye anadhani ilimvunjia heshima na kwamba yeye hana fursa ya kujibu tuhuma au kashfa hizo, lakini nadhani kuna utaratibu wa kuandika Barua wamuite yeye kwenye hiyo kamati pamoja na Mbunge husika kama alivyowahi kufanya marehemu Reginald Mengi ili aitwe na kupewa nafasi ya kujitetea ndani ya kamati ya hadhi na maadili na ikiwezekana kuomba Bunge limchukulie hatua Msigwa
 
Hivi hawa wana wake au? sasa kweli anasema nimemchukulia mwanamke halafu hapo utakuta ana mke nyumbani. mbona kuna upumbavu wa ajabu na hawa wanawake wanaona haya au labda huyu kama hana mke kidogo nitamuelewa.
 
Back
Top Bottom