hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
😃😃ebitoke sasa ana impact gani...?nani ambaye anamjua huko duniani...... ? mwananchi wa kawaida ambaye hata kula yake ya mchana inamshinda hawezi kwenda kutalii....bado kwa kiasi,kikubwa sekta hii inawahitaji wageni kutoka nchi za nje ili iweze kukuua zaidi kwa sababu wao wanajimudu kimaisha na pia ni watu ambao wana utamaduni wa kupenda kuizunguka dunia....... kuna watu wamezaliwa hapa hapa bongo na mpaka wamekufa hawana hata hizo interest za mambo ya utalii (wengi tupo katika kundi hili)...... na kikubwa zaidi kinacho changia ni ugumu wa maisha...... ugumu wa maisha umesababisha maisha ya starehe kwa wabongo yawe ANASA Mla Bata