Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inachezewa sana hiiWakuu,
Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu?
Wajuvi mkuje hapa.
View attachment 3176591
Steve Mengele.Sasa wewe si Umeseme Nyerere? Sasa unataka nini tena wakati umeshasema Nyerere
Alisema tramp waafrika wakishinda chaguzi huwa wanawaza uchaguzi ujao na sio kuwaletea wananchi wao maendeleoShida ya CCM wao wanawaza namna ya kupata kura, hapo agenda yao ni kura si kingine.
Haya ndio matatizo yanayoimaliza Africa, wanasiasa wanawaza vyeo vyao zaidi kuliko maendeleo ya wananchi wao.
Yule mwashambwa wa kule Mbeya aliyefanya mauaji bila shaka ni ndugu yakoSasa wewe si Umeseme Nyerere? Sasa unataka nini tena wakati umeshasema Nyerere
Jamaa halitaki jina la ukoo wao anaparamia la wenzake kwa kutamani umaarufu hajui kama hata yeye anaweza kulifanya hilo jina lao kuwa maarufu kwa sababu sifa ndiyo huleta jina lakini yeye anataka jina la watu wengine ndiyo limletee sifa?Steve Mengele
NI zezeta kama chama chao kilivyo. Chama Cha MazezetaJamaa halitaki jina la ukoo wao anaparamia la wenzake kwa kutamani umaarufu hajui kama hata yeye anaweza kulifanya hilo jina lao kuwa maarufu kwa sababu sifa ndiyo huleta jina lakini yeye anataka jina la watu wengine ndiyo limletee sifa?
Abdul Nondo hayumo kwenye pay ya Ikulu anachapwa kila akileta za kuleta. Mwenye jina la baba wa taifa, hakupewa position ya kuuza madafu,samaki wala kuwa chizi kama wengine.Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu"
Bado sana taifa kufika huko mkuu, ukiwa mwanasiasa hasa ulieteuliwa na raisi kushika nyadhfa fulani, watu hujiona miungu watu.Africa kuwa kiongozi wa kisiasa ni tayari umepata ajira inayolipa kwako na familia yako, wewe sio mtumishi tena bali ni sehemu ya chama cha walaji na watafuna nchi.
Hii dhana ya kuwa mfanyabiashara pale tu ulipopata madaraka na kutumia wananchi kama ngazi ili ujilimbikizie Mali ndio imefanya kila mtu sasa apambane awe mwanasiasa au mtumishi wa umma apate utajiri wa haraka yeye na familia yake.
Hali sasa imesababisha kwa kiasi kikubwa viongozi Africa kutumia nguvu kubwa kuendelea kubaki kwenye nyadhifa zao, wako tayari kuua dhidi ya maslahi, wako tayari kumanipulate watu ili wabakie kwenye mifumo, nk, nk.
Africa kufanikiwa mpaka pale watumishi WA umma na wanasiasa watakaporudi kwenye misingi hasa ya uongozi na kutambua utumishi maana yake ni kutumikia watu na sio kutumikiwa na watu, sio kuwa mfanyabiashara na familia yako, sio kuwa mungu mtu.
Utumishi ni hali ya kujitoa dhidi ya watu, kulinda maslahi ya watu na Taifa lako, kutetea maslahi ya watu na Taifa lako.
Tatizo akili hana,akishauriwa anatoa majibu ya nyodo,kambilikimo na kuwadi mwandamizi Steve Nyerere anapata recognition yeye yupo kutujazia server na mautumbo yake.Steve Mengele.
Kaka Lucas Mwashambwa, unaona wenzako wanapata recognition na heshima, wewe KAZI yako ni kusifia na kuabudu watu ambao hata hawakuthamini.
Umeandika minamba yako hadi umechoka, sasa umechoka.
Ili ufanikiwe ni lazima utumie akili Na sio hisia.