Pre GE2025 Steve Nyerere na kundi lake kutambuliwa kama "Protocol kutoka Ikulu" kwa Mwamposa ina maana gani? Steve ni 'Kitengo'?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu?

Wajuvi mkuje hapa.

Shida ya CCM wao wanawaza namna ya kupata kura, hapo agenda yao ni kura si kingine.

Haya ndio matatizo yanayoimaliza Africa, wanasiasa wanawaza vyeo vyao zaidi kuliko maendeleo ya wananchi wao.
 
Africa kuwa kiongozi wa kisiasa ni tayari umepata ajira inayolipa kwako na familia yako, wewe sio mtumishi tena bali ni sehemu ya chama cha walaji na watafuna nchi.

Hii dhana ya kuwa mfanyabiashara pale tu ulipopata madaraka na kutumia wananchi kama ngazi ili ujilimbikizie Mali ndio imefanya kila mtu sasa apambane awe mwanasiasa au mtumishi wa umma apate utajiri wa haraka yeye na familia yake.
Hali sasa imesababisha kwa kiasi kikubwa viongozi Africa kutumia nguvu kubwa kuendelea kubaki kwenye nyadhifa zao, wako tayari kuua dhidi ya maslahi, wako tayari kumanipulate watu ili wabakie kwenye mifumo, nk, nk.

Africa kufanikiwa mpaka pale watumishi WA umma na wanasiasa watakaporudi kwenye misingi hasa ya uongozi na kutambua utumishi maana yake ni kutumikia watu na sio kutumikiwa na watu, sio kuwa mfanyabiashara na familia yako, sio kuwa mungu mtu.
Utumishi ni hali ya kujitoa dhidi ya watu, kulinda maslahi ya watu na Taifa lako, kutetea maslahi ya watu na Taifa lako.
 
Sasa wewe si Umeseme Nyerere? Sasa unataka nini tena wakati umeshasema Nyerere
Steve Mengele.
Kaka Lucas Mwashambwa, unaona wenzako wanapata recognition na heshima, wewe KAZI yako ni kusifia na kuabudu watu ambao hata hawakuthamini.

Umeandika minamba yako hadi umechoka, sasa umechoka.
Ili ufanikiwe ni lazima utumie akili Na sio hisia.
 
Shida ya CCM wao wanawaza namna ya kupata kura, hapo agenda yao ni kura si kingine.

Haya ndio matatizo yanayoimaliza Africa, wanasiasa wanawaza vyeo vyao zaidi kuliko maendeleo ya wananchi wao.
Alisema tramp waafrika wakishinda chaguzi huwa wanawaza uchaguzi ujao na sio kuwaletea wananchi wao maendeleo
 
Jamaa halitaki jina la ukoo wao anaparamia la wenzake kwa kutamani umaarufu hajui kama hata yeye anaweza kulifanya hilo jina lao kuwa maarufu kwa sababu sifa ndiyo huleta jina lakini yeye anataka jina la watu wengine ndiyo limletee sifa?
NI zezeta kama chama chao kilivyo. Chama Cha Mazezeta
 
Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu"
Abdul Nondo hayumo kwenye pay ya Ikulu anachapwa kila akileta za kuleta. Mwenye jina la baba wa taifa, hakupewa position ya kuuza madafu,samaki wala kuwa chizi kama wengine.

Yeye nafasi yake kapewa kuwa chama cha upinzani na kutunga vitabu vya kiintajelisia tu.
 
Mmeshaambiwa rais anarogwa, ila huyu mama hata bila kurogwa kichwani anaonekana ni empty set, wacha ajitandikie zake whsky huko visiwani awaache watanganyika wakiongozwa na mwamposa
 
Africa kuwa kiongozi wa kisiasa ni tayari umepata ajira inayolipa kwako na familia yako, wewe sio mtumishi tena bali ni sehemu ya chama cha walaji na watafuna nchi.

Hii dhana ya kuwa mfanyabiashara pale tu ulipopata madaraka na kutumia wananchi kama ngazi ili ujilimbikizie Mali ndio imefanya kila mtu sasa apambane awe mwanasiasa au mtumishi wa umma apate utajiri wa haraka yeye na familia yake.
Hali sasa imesababisha kwa kiasi kikubwa viongozi Africa kutumia nguvu kubwa kuendelea kubaki kwenye nyadhifa zao, wako tayari kuua dhidi ya maslahi, wako tayari kumanipulate watu ili wabakie kwenye mifumo, nk, nk.

Africa kufanikiwa mpaka pale watumishi WA umma na wanasiasa watakaporudi kwenye misingi hasa ya uongozi na kutambua utumishi maana yake ni kutumikia watu na sio kutumikiwa na watu, sio kuwa mfanyabiashara na familia yako, sio kuwa mungu mtu.
Utumishi ni hali ya kujitoa dhidi ya watu, kulinda maslahi ya watu na Taifa lako, kutetea maslahi ya watu na Taifa lako.
Bado sana taifa kufika huko mkuu, ukiwa mwanasiasa hasa ulieteuliwa na raisi kushika nyadhfa fulani, watu hujiona miungu watu.
 
Makonda amesema Rais Samia Suluhu Hassan amerogwa sana kuliko mtu yoyote hapa Tanzania hivyo tutegemee kila aina ya vibweka kwenye utawala wake.
 
Steve Mengele.
Kaka Lucas Mwashambwa, unaona wenzako wanapata recognition na heshima, wewe KAZI yako ni kusifia na kuabudu watu ambao hata hawakuthamini.

Umeandika minamba yako hadi umechoka, sasa umechoka.
Ili ufanikiwe ni lazima utumie akili Na sio hisia.
Tatizo akili hana,akishauriwa anatoa majibu ya nyodo,kambilikimo na kuwadi mwandamizi Steve Nyerere anapata recognition yeye yupo kutujazia server na mautumbo yake.
 
Back
Top Bottom