bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Watu wanadis toyota, kisa AUDI sasa ungekua na G55 Wagon wewe jamaa si ungejidai sana? halafu tunaangalia upo sehemu gani maana nchi zingine hasa hizo Europe kununua Toyota zinapelekea kua na na kodi kubwa sababu ya importation halafu kuona AUDi ina class na style or whatever ni ujinga maana Toyota katoboa hata huko unapokuaona vipi sijui ndo mana kuna LEXUS(Luxury EXport to the US) Luxury Version of the Toyota
Kumbe ndo maana unaweza kununua sababu uko hukohuko...njo ununue hapa bongo tuone hizo nyodo zako.
And by the way hizo unazoita takataka zetu hazipo sana huko ulaya sababu wa protectionism tu na sio quality kam unavotaka kuaminisha umma,Toyota wanazo gari pia wanauza hukohuko ulaya weww sijui unaishi Greenland ama?In fact hizo takataka zinauzwa dunia nzima na matajiri wa ulaya wanaweza kuzinunua weww huwezi sababu zi za kuagiza nje unashindwa bei.
Huyu jamaa kwanza premise ya kwanza kua anaishi ulaya nayo ni FALSE kwa hiyo his whole argument in invalid.