Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Steve Nyerere na Utajiri wa Kutisha

Watu wanadis toyota, kisa AUDI sasa ungekua na G55 Wagon wewe jamaa si ungejidai sana? halafu tunaangalia upo sehemu gani maana nchi zingine hasa hizo Europe kununua Toyota zinapelekea kua na na kodi kubwa sababu ya importation halafu kuona AUDi ina class na style or whatever ni ujinga maana Toyota katoboa hata huko unapokuaona vipi sijui ndo mana kuna LEXUS(Luxury EXport to the US) Luxury Version of the Toyota
Kumbe ndo maana unaweza kununua sababu uko hukohuko...njo ununue hapa bongo tuone hizo nyodo zako.

And by the way hizo unazoita takataka zetu hazipo sana huko ulaya sababu wa protectionism tu na sio quality kam unavotaka kuaminisha umma,Toyota wanazo gari pia wanauza hukohuko ulaya weww sijui unaishi Greenland ama?In fact hizo takataka zinauzwa dunia nzima na matajiri wa ulaya wanaweza kuzinunua weww huwezi sababu zi za kuagiza nje unashindwa bei.



Huyu jamaa kwanza premise ya kwanza kua anaishi ulaya nayo ni FALSE kwa hiyo his whole argument in invalid.
 
True, he is letting down us who are real 50's he writes like bongo movie guys
C'mon una ni judge kwa ninachokiandika,nimezaliwa dsm maisha yote ya nyerer nimeyapitia majiona niko kijiweni najiachia am just deriving pleasure chatting with you guys meanwhile naboresha kiswahili changu cha mtaani ndio maana nampenda mno @lara1,kuna misemo mingi naiokota kwake.sio mwenzenu nimekula chumvi kiasi,nikiwaangalia Humu wengi nawaona ni wa 80s.
 
Prove it,I promise u up n down ticket,uJe uoshe macho
Mimi ng'ambo nilienda kabla yako na nikarudi ,sibebi box kama wewe au kama ubebi box utakua ushaolewa na wanaume huko waliokununulia q7 na hata hiyo mythical q7 yako utakuta ni zile zilizopata ajali na kuuzwa at giveaway price sababu wazungu wazawa hawatumii zisizo na airbag
 
Hawana exposure ndo maana hawatumii.wewe hujiulizi UN iko marekani lakini vehicle fleet yake 90% ni toyota???
Hapa makao Makuu mbona sizioni,wanatumia huko kutokana na environment pia ni cheap kumaintain.
 
Mimi ng'ambo nilienda kabla yako na nikarudi ,sibebi box kama wewe au kama ubebi box utakua ushaolewa na wanaume huko waliokununulia q7 na hata hiyo mythical q7 yako utakuta ni zile zilizopata ajali na kuuzwa at giveaway price sababu wazungu wazawa hawatumii zisizo na airbag
Ndugu mbona q7,inakutoa ufahamu ni vitu vidogo mno huku,huwezi ukasema una toy,ningekuwa na bugatti ingekuwaje dogo,halafu Unaposema umekuja kabla yangu unajua nimefika lini huku?,embu punguza utoto!!
 
Ndugu mbona q7,inakutoa ufahamu ni vitu vidogo mno huku,huwezi ukasema una toy,ningekuwa na bugatti ingekuwaje dogo,halafu Unaposema umekuja kabla yangu unajua nimefika lini huku?,embu punguza utoto!!
Nani alianza kuitaja q7 hapa?unajulikana umefika lini kwa mawazo yako ya kitoto.
 
Hahaha kumbe huko nako kuna mikate?supaloaf au sunkist??
Unaniangusha sasa hiyo jdio mikate yenu mnayokula arusha,mimi nilikula siha na ile ya Gloria bakery,hembu muulize babu yako kuhusu hiyo mikate niliyoitaja,I believe enzi zake hata baba yako alikuwa hajafika dar
 
Vijana wanashoboka na vitu vidogo sana gari ni chombo cha kukutoa sehemu moja na kukupeleka nyingine so kila mtanzania anatakiwa kua nalo na sio utajiri nyumba ni sehemu ya malazi kila mtanzania ni lazma ajenge tu nayo hiyo sio utajiri kwa sababu ni mahitaji ya muhimu tu muache kushoboka kama vile nyie mtalala nje
 
Back
Top Bottom