ramli nonsense kama hizi zinaweza kuwatisha washirikina pekee gentleman,
hakuna gaidi atavumiliwa hata kwa sekunde moja tu Tanzania eti aachwe tu apore watu, aumize watu, aharibu miundombinu au kulipua vituo vya mafuta, nyumba za wanananchi au ofisi za umma,
na kubwa zaidi,
hakuna uhaini utakaofanikiwa Tanzania hata ufadhiliwe na mabwenyenye kutoka magaharibi na mashariki kupitia vibaraka wao waropokaji tu humu nchini