Glycel
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 415
- 191
Tutaomba kweunuKwa Fedha ipi?: Uhamisho Dodoma, Standard Gauge, Flyovers, Stiegle's Gorge Dam, . kila la heri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaomba kweunuKwa Fedha ipi?: Uhamisho Dodoma, Standard Gauge, Flyovers, Stiegle's Gorge Dam, . kila la heri.
Kama watu wa mazingira hawasikilizwi leo basi ningefurahi kama yule anaeitwa Mboye akarudishiwe mradi wake. Busara tu
Umeenda mbali kuwashambulia wazungu kote huko. Watanzania nuksi wameona Mboye anataka kuinuka wakakereka sana wakatumia sababu za wazunguru zinazohusu mazingira, nimeamini kikulacho kinguoni mwakoWazungu wa ovyo sana! Wakiona mnataka kuinuka wanakereka sana! Kwani wanavyochimba madini na kutuachia mashimo hawaharibu mazingira?
Unajua inaudhi sana!
kwa nn tukae giza au tukose wawekezaji kwa kukosa umeme wa uhakika?! wakati tuna mafuta na gesi ya kutosha kule Mtwara!!!!! au bado haijafika Dar???!! au pengine uchimbaji haujakamirika?!!!? kwa nn tusikamirishe kwanza huu umeme wa gesi na mafuta kabla hatijajifanya kama hatuna namna bali tutumie rasili mali zetu. Ni zetu kweli, ila lazma tuwe na mipango ya namna tunavyozitumia. Bosi atueleze kwanza huo umeme wa mafuta na gesi umefikia wp???=Hao wanaojiita wanamazingira waache kuingilia mambo ya nchi yetu, yaani sisi tuishi Giza na tukose uwekezaji mbalimbali kisa hakuna umeme wa uhakika wakati tuna vyanzo vya maji vya uhakika vya kuzalishia umeme wakati huo huo wanatucheka nyuma ya pazia kuwa hatujui kutumia rasilimali zetu.
Nadhan wangekuwa kweli ni wapigania mazingira wangeanza na mataifa yao yaliyoendelea ambayo yana tumia nuclear power kuzalisha umeme+kuwa na maviwanda yanayochafua anga na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi duniani
Hakuna haja ya kukaa giza,,,,, vp ile gesi ya Mtwara???? Si tuliambiwa itamaliza tatizo la umeme!!!! Wanamazingira tunataka tuangalie if we got any other options,,, and we have one.na hawa wanamanzingira kwahiyo sisi tukae gizani sio mambo mengine hayana maana
BAK Nakuonea Huruma sana, bado una miaka 8 ya kujitesa, pole sana.Ahsante sana Mkuu, kwenye shamba la Mbowe Serikali hii inajali sana mazingira kuwa salama tena ni kasehemu kadogo tu, lakini inapokuja malaika kuamua atakavyo basi mazingira ya nchi hayana kipaumbele hata chembe! Na malaika huwa hakosolewi! Wanafiki ndivyo walivyo!
Kwa hotuba ile niliyoirudia mara mbili kwa raha zangu, Mkulu alinena aaaaah watasaga meno kwa mazoea yao
Sipitwi na hotuba za Mh. JPM
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeee
Tukiamua hakuna wa kuzuia. Wazungu wanapenda kuona hao tembo kuliko waafrikaTutaona !
EIA is important. And you believe (like in Jesus Christ). But the President has spoken - he literally said 'f**k the environmental impacts', the project will go on irrespective of environmental impacts (actually, we are only talking about 3% of Selous Game Reserve. Tiny fraction of the 50,000 square kilometer reserve). Do you live in Tanzania? And if you insist on EIA, the President is going to write the report himself. And then we will see if EIA is as important as you believe. Are you following?
Hawa wana mazingira ni hopeless na hawajui shida wanazopata wananchi utakuta wengi wanaoshadadia kwamba mradi huo usijengwe sio watanzania sidhani kama mtanzania wa kawaida anayejua shida za umeme na ambaye tangua azaliwe hajawahi kuona hata nguzo ya umeme inapita kwao kwamba ataleta hoja ya mazingira.... it might be we have one option as u say and that can be according to u & not the govtHakuna haja ya kukaa giza,,,,, vp ile gesi ya Mtwara???? Si tuliambiwa itamaliza tatizo la umeme!!!! Wanamazingira tunataka tuangalie if we got any other options,,, and we have one.
According to EMA, EIA is mandatory na zpo project zmekua rejected nchi hii hasa zile za senstive area ambzo it impact maginitude n very high so EIA process ndio itatupa muelekeo so nakubaliana na ww kabsa kuwa kuptia EIA ndio tutajua likely impact both environment and social and possible mitigation measure to minimize hzo impact na if the project itakua rejected at early stage kwenye scoping tutajua maana sio project ya kwanza kuwa rejected.I hope an environmental impact assessment would be carried out before the project is implemented. It is important to figure out the unintended impacts so that mitigation strategies can be put in place. Ideally the results of the EIA should be taken into account in making the decision to go ahead. But if the decision to go ahead has been made then the EIA can shed light on what we should do to minimise the anticipated negative effects on the environment and the populace.