Stop dating liabilities.

Stop dating liabilities.

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Mwanaume usije ukaruhusu kutowajibika kwa mwanamke kuwa wajibu wako. Kama unataka kukua kiuchumi au kimafanikio basi jipe kipaumbele wewe mwenyewe zaidi ya uyo mwanamke.

Kila binadamu ambae ni mtu mzima anawajibika kujihudumia yeye mwenyewe na iyo ndio inatakiwa kuwa sifa ya kuingia katika mahusiano ya kimapenzi.

Ni wajibu binafsi wa jinsia zote mbili yaani mwanaume na mwanamke kusimama kiuchumi na kumudu kujitegemea kabla haujaingia kwenye mahusiano.

Stop dating liabilities who always are in need of humanitarian aids from you, as a yooug man that kind of relationship is hindrance to your progress.

A relationship is a place for two independent, self sufficient and capable people to mutually exchange value with each other and not place to be completely ripped off by another in the name of "baby i love you"

Kama mwanamke unae-date nae haongezi thamani yoyote kwenye kukua kwako kimaendeleo yafanyie tathmini hayo mahusiano yako, sexual pleasure ya dakika chache isikufanye ukaweka rehani mustakhabali wa maisha yako.

Your relationship should make you better, not broke. If she is not adding tangiable value to your life in anyway and constantly demanding urgent aids, that lady is a thief.

I love you, i love you my brother.
 
Na bado hao wenzio hawata kusikilizaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
If she is not adding tangiable value to your life in anyway and constantly demanding urgent aids, that lady is a thief
Broo, si wanasema punyeto ina madhara, na ukame sugu unaleta tatizo la tez dume?
Bila kutoa mpunga utapataje ile kitu?
 
Siku niliyo tambulishwa kwake na nilivyo muona I thought she was the one.

Tuka badilishana namba kwa ajili ya mawasiliano, siku nipo katika mizunguko yangu town we met accidentally.

Ilikuwa mida ya lunch, na Kwa vile nilikuwa sina ratiba ngumu nika mualika tupate kitu mgahawa fulani.

Cha kushangaza aka mpigia simu rafiki yake aje tulipo!!.
It wasn't a problem kwani nili hisi huwa Wana kula pamoja so mwenzie ana weza akawa bored aliko.

PIcha Lina Anza rafiki alivyo fika, aka itwa kwa sauti kubwa!. Aisee lile eneo huwa ni tulivu na watu fulani hivi wastaarabu.
I was left puzzled sema Nika vunga ki comrade tu.

rafiki aka ambiwa agiza chochote, binti mstaarabu kaagiza makaange ya kuku na chipsi tu.
afisa bichwa SI Ika agiza wine ya 35k, makaange na chipsi na still haiku maliza.

Ina kula Huku ina ongea kwa sauti, rafiki kaji tahidi kumbonyeza, ila ni Kama alikuwa ana deki bahari!!

Ika taka kuagiza wine ya 2, rafiki yake aka mwambia zime tosha SI tuna Rudi job, paka shume Ika sema Ina beba kwa ajili ya baadae!!

Mara Eti nime sahau kuku uliza una fanya kazi wapi??, Wana kulipa. Shingapi??.

Mpaka Kuna li shangazi jirani. lika sema we binti uta fanya wanaume wakuone kifaru cha vita
 
Nimecheka had machoziii, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
...afisa bichwa SI Ika agiza wine ya 35k, makaange na chipsi na still haiku maliza.

Ina kula Huku ina ongea kwa sauti, rafiki kaji tahidi kumbonyeza, ila ni Kama alikuwa ana deki bahari!!

Ika taka kuagiza wine ya 2, rafiki yake aka mwambia zime tosha SI tuna Rudi job, paka shume Ika sema Ina beba kwa ajili ya baadae!!

Mara Eti nime sahau kuku uliza una fanya kazi wapi??, Wana kulipa. Shingapi??.

Mpaka Kuna li shangazi jirani. lika sema we binti uta fanya wanaume wakuone kifaru cha vita
Hahaha..
Mkuu, hapo ulizama cha kike bila kujua
 
Nimecheka had machoziii, khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaani Ile ongea yake ni mbwa Koko anaye bweka, rafiki yake nili kutana nae Baada ya hapo.

aka sema huyo ndo alivyo, yaani kiufupi dishi lisha yumba
 
Back
Top Bottom