Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

Kwamba siku za mechi za Ligi Daraja la Kwanza enzi hizi, eti Frank Kassanga "Bwalya" aliyekuwa beki wa Simba eti alikuwa anafuatwa baa anaingia uwanjani na anakiwasha kweli kweli akiwa amelewa!🀣🀣🀣🀣
 
Diego Maradona ndio mchezaji aliechezewa Rafu nyingi kuliko mchezaji mwengine yoyote yule duniani.
 
Kuna siku Diego Maradona aliamua kupiga chenga wachezaji wengine wote 21 waliobaki, wa timu yake na timu pinzani mpaka refa.
 
Aliekua kipa wa Yanga Bwana Juma Pondamali alidakaga mpira akauficha mgongoni ndani ya jezi kisha akatingisha nyavu kwa mkono, refa akaweka kati.

Baadae wanatafuta mpira uanzishwe kati hawauoni, akautoa mgongoni refa ikabidi abadili maamuzi.
 
Hii ya kipa kudaka kwa miguu, ni kweli itafute hiyo clip youtube
 
Nakumbuka niliadisiwaga kwamba RONALDIHNO akikupiga chenga ya kisnake lazima kiuno kivunjikeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilisikia kwamba Ronaldo akipiga shuti lazima ichane nyavu na pia akipiga shuti likakosa goli lazima shabiki 1 wa nyuma ya goli pinzani atakae patwa na mpira lazima avunjwe vidole au mkono kabisa
 
Drogba anakunywa lita 365 za Maziwa na Kuku 21 kwa siku 1 tuu
Mimi niliambiwa jamaa alivyokuja bongo na ivory coast kucheza dhidi ya taifa starz lunch yake alikua anakula kuku watatu. Sijui ni kweli au kamba
 
Kwamba straika wa Simba Fredy eti ni Fredy fungafunga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…