Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Inaonekana kama Sativa is here to stay.
Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini
Edgar Mwakalebela maarufu alitajwa kama muhanga wa matukio ya utekaji yanayoendelea nchini ambapo pia alipata nafasi ya kuzungumza jinsi watu aliowatambua kama Polisi walivyomteka.
Katika bandiko hilo la The Guardian, waathirika wengine wa utekaji pia walitajwa kama Mzee Ali Kibao, Abdul Nondo na baadhi ya makada wa CHADEMA waliouwawa kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za mitaa.
===============
Kama tulitumia mabilioni kuandaa ili filamu ya Royal KUSAFISHA sura ya nchi yetu na sasa hivi vyombo vya kimataifa vinaturipoti kuwa Tanzania sio sehemu salama ya kuishi, ile Royal Tour ilikuwa na umuhimu gani?