Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kiongozi Gani anaweza kupinga hadharani kwamba serikali haiteki wakati waziri Bashe kasema Tiss Ina kitengo cha utekaji na kina mipango ya kuwateka wabunge 11Gazeti hilo linaweza kudaiwa fidia kwa kuchafua haiba ya viongozi na nchi