Stori ya jinsi Sativa alivyotekwa yatua kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza

Ki ukweli inatia mashaka sana kiusalama. Kama mtu anaweza kutolewa ndani ya bus lililojaa abiria mchana kweupe na kesho yake anapatikana kauwawa tena kikatili sana.mgeni gani akisikia hivyo atakuwa na amani.

Haya mambo yanawaharibia sana mkuu

Tumetumia mabilioni kuandaa Royal Tour then mambo kama haya yanatokea na kuchafua nchi.

Umuhimu wa Royal Tour uko wapi?
 
Huyo mwandishi wa the guardian naye atatekwa hivi karibuni 😒🥺,wasiojulikana watamfuata London. TCRA nao watatoa amri gazeti liombe radhi,kisha litapigwa ban ya siku 30 kupost maudhui mtandaoni . Hawa mabeberu waache kuichafua nchi yetu😒.
 

Bila kusahau UVCCM kujitokeza kutoa matamko.

Typical behaviors za chama cha kijani
 
Nimewaza pia ndo maana wabongo hatuna international journalists wanaofanya kazi kwenye vyombo vikubwa duniani.

Imagine hiyo article angeandika mwandishi wa kibongo.
Mbongo hapo huenda alishaokotwa katobolewa macho na kaoza ama haonekani popote pengine ana kesi ya uhujumu uchumi.
 
 
Huyu mkoloni mweusi serikali ya CCM, anapaswa kubanwa kila mahali
 
Sema yule dogo kuna kitu anakifosi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…