Stori ya jinsi Sativa alivyotekwa yatua kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza

Hapa kuna wanaharakati meno yote nje maana huo ni ushahidi tosha kuombea fungu lingine la hela
Sasa inabidi mbinu za mauaji zibadilike.
Unawapa sumu kama Nondo.
Ukwenda kufa kimya kimya.
Kazi ya mama haina makosa
 
Uingereza ipi?!! the Uk which supporting genocide in gaza?!!
yaani UK na USA hawana uhalali wa kuinyooshea nchi yoyote dunia eti ina kiuka haki za binaadamu.
USA and UK are supporting killings of children in gaza?!
Hakika dunia ni wanja wa fujo.
 
Ukiisoma hii habari, kwa hakika imeandikwa na Mtanzania na kupostiwa huko the Guardian.
 
Mama have managed to put us on the world map. Right alongside RWANDA, NORTH KOREA, SAUDI ARABIA and the likes. Kudos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…