Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 10, 2024 #61 jingalao said: Gazeti hilo linaweza kudaiwa fidia kwa kuchafua haiba ya viongozi na nchi Click to expand... Kiongozi Gani anaweza kupinga hadharani kwamba serikali haiteki wakati waziri Bashe kasema Tiss Ina kitengo cha utekaji na kina mipango ya kuwateka wabunge 11
jingalao said: Gazeti hilo linaweza kudaiwa fidia kwa kuchafua haiba ya viongozi na nchi Click to expand... Kiongozi Gani anaweza kupinga hadharani kwamba serikali haiteki wakati waziri Bashe kasema Tiss Ina kitengo cha utekaji na kina mipango ya kuwateka wabunge 11
T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 3,506 Reaction score 6,305 Dec 10, 2024 #62 To yeye said: Hao watatuleteaa vita,nasi kuishi tunataka jamen Click to expand... Bora wajue hapa kwetu sio salama tena
To yeye said: Hao watatuleteaa vita,nasi kuishi tunataka jamen Click to expand... Bora wajue hapa kwetu sio salama tena
T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 3,506 Reaction score 6,305 Dec 10, 2024 #63 much know said: Mtawalipa Nini baada ya kusaidiwa? Click to expand... Mbona rasilimali zinaishia kwenye matumbo ya wakubwa,tutawapa hizo hizo
much know said: Mtawalipa Nini baada ya kusaidiwa? Click to expand... Mbona rasilimali zinaishia kwenye matumbo ya wakubwa,tutawapa hizo hizo
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Dec 11, 2024 #64 Erythrocyte said: Au laweza kutunukiwa nishani kwa kuwaanika wauaji Click to expand... Nishani itapendeza
Erythrocyte said: Au laweza kutunukiwa nishani kwa kuwaanika wauaji Click to expand... Nishani itapendeza