Stori ya Kusisimua ya Boniface Jackob aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo

Stori ya Kusisimua ya Boniface Jackob aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza.

Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako

Screenshot_2024-05-08-22-24-25-1.png
Screenshot_2024-05-08-22-24-44-1.png
Screenshot_2024-05-08-22-24-54-1.png
 
Nimemiss point au??

Bwana Boniface ni fedheha kwa wazazi wake waliomsomesha na akaishia kupokea vipochi.

Ni vizuri aliamua kuacha ulinzi.
 
Bw. Boni bwana mbona ajaandika alikuwa mwalimu ile shule ya Breakthrough sec school miaka ya 2009. Iliyopo bmoyo
 
Nimemiss point au??

Bwana Boniface ni fedheha kwa wazazi wake waliomsomesha na akaishia kupokea vipochi.

Ni vizuri aliamua kuacha ulinzi.
Hata mimi niliwaza kama wewe lakini baadaye nikamsifu, hasa kwa Tabia njema
 
Bila kujua kamvua nguo boss wake, inashangaza mtu wa karibu kama mlinzi taarifa zake hazifahamiki na sio tu boss bali taasisi nzima anakofanyia kazi!
Unamfahamu John Mallya?
 
Back
Top Bottom